Chadema help Tanzanians to fight against CCM neo-colonialists | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema help Tanzanians to fight against CCM neo-colonialists

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Dec 28, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We are hereby directing Chadema to help Tanzanians to protest against the intended unjustified payment of fake Company called Dowans which inherited another fake contract between Richmond and corrupt Tanzania government. Citizens are ready to fight with the current corrupt government until we achieve liberation of our country from neo-colonialists CCM Corrupt government leaders. We are tired of carrying burdens of poverty motivated by CCM. Tanzanians are not ready to continuously pay hiked electricity bills to support the Mafia CCM group.
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  haraka sanaaaaa plzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

  pia tunaomba wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii waliobaki ndani ya CCM come out!!!! uwe mbunge, diwani, mwanachama wa kawaida........jivueni huko, uchaguzi utarudiwa na tutawasaidia mtashinda kwa kishindo! ndicho kifo cha sisiemu!!!! jitoleeni tu mara hii, historia itawashuhudiisha
   
 3. m

  mpingomkavu Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BORA serikali ya kikoloni irudi tanzania lkn siyo hii ya CCM, kwani ukilinganisha mambo walioyafanya wakoloni na wanayoyafanya ccm wakoloni walifanya mambo makubwa sana, esp ya kimaaendeleo,MJERUMANI RUDI TZ
   
 4. D

  DENYO JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katiba mpya ndio ukombozi nambari one ambayo chadema na dr slaa waliiweka kwenye ilani yao.who is werema to take this country to hell? Ukisema katiba mpya kuna watu wanapata pressure yeye ni mmoja wapo, utasikia wanakwambia wananchi , wananchi gani hao tofauti na waliokwisha kuongea?? Maaskofu wanataka katiba mpya, cwt wanataka katiba mpya, waislamu wanataka katiba mpya, tucta/wafanyakazi wataka katiba mpya, wanazuoni wanataka katiba mpya, wanasheria na wanaharakati mbalimbali wanataka katiba mpya, jaji samata, jaji warioba, jaji kisanga, jaji manento, jaji bomani,jaji ramadhani wanataka katiba mpya , media wanataka katiba mpya,chadema, cuf, nccr,tlp, udp wote wanataka katiba mpya, yeye ag ni nani hasa kuzuia katiba mpya na kwa malsahi ya nani hasa??? Anaogopa nini kuandikwa katiba mpya????? Je hofu hii inatoka wapi???
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe, Mjerumani kwa mfano alijenga reli lakini wakolini wa CCM wameiua. Chadema you are the only weapon we have to mobilize Tanzanianf fight huyu mkoloni mweusi aliyechanganyikana na mkoloni wa rangi ya njano.
   
Loading...