Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 224
Haya maneno huwa yanatumiwa na kina Nape, Wassira na Werema wanapomshauri rais masuala ya siasa na mahusiano.CHADEMA HAWAFAI
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,chama pekee kilichoonesha nia thabiti ya kumuondoa mtanzania hapo alipo katika lindi la umaskini wa kutisha ni chadema,hawa chadema hawafai kabisa,wamethubuti kumlazimisha mkulu pamoja na baraza lake kubwa la wabunge wengi bungeni lakini limeweza kuwa mobilize na wakafuata upepo wao hatimaye mawaziri 6 wamepigwa chini.
Hawa chadema ni noma kabisaa,hawafai kulinganishwa na vyama vingine vya upinzani kama tlp,nccr,cuf,nld,adc n.k nk nk nk .Hiki chama hakifai kabisa kulinganishwa na chama chochote cha upinzania hapa Tanzania kwa mipangilio yake iliyo na mikakati imara inayosababisha hata viongozi wengi kutoka ccm kuhamia cdm.
Hawafai kabisa kuachwa hivihivi maana wakiachwa hii nchi itarejea kwenye ukoloni mamboleo,wana kila sababu ya kukabidhiwa dhima ya kuliongoza hili taifa baada ya chama dume ccm kisichozaa matunda ya uhuru miongo kadhaa zaidi ya miaka 48 kuliongoza taifa hili bado songea wanatumia generator kuwasha umeme.
CHADEMA HAWAFAI

Dar ache maana pale tukipawasha biashara ya CCM basi kwanza Mkuu wa nchi atapashida sana kama Dar itakuwa kama mbeya, Arusha, Mwanza ambako anaenda kama anaenda nchi jirani....Kikwete huingia Arusha usiku anondoka asubuhi tunasikiakwenye vyombo vya habari kikwete alikuwa arusha jana...Kikwete kulikoni Arusha uliyoipenda kila mwenzi ulikuwa unatia timu njiro..Mistari yako imesimama but kichwa cha habari ni vagaranti mkulu.
Tumekuja kuwashika pasiposhikika hakika huu moto wa gesi kuuzima utamaliza maji baharini.
makambako gari la M4C ni speed mia ishirini wanatembea nayo sasa hivi. kaskani speed inasoma 180km/h
tabora na mitaa ya kati wako 50km/h
Mwanza na kanda ya ziwa wako 150km/h
hapo Dar kutokana na wazee wengi kupenda wali wa bure kutoka ikulu speed inasoma 40km/h
but soon gari letu aina ya M4C tutakuwa kwenye speed moja ya 180km/h by end of 2014
Kweli yegella hiyo ni signature yangu, wakati sisi tunahangaika kuwakomboa wananchi kwa kuanzisha M4C wao wanahangaika kuwamaliza wananchi kwa kuwakata shingo kwa kuanzisha M4K.Nimeona signature ya Feedback inasema: Only in Tanzania: Movement for Change (M4C) Vs Movement for Killing (M4K)
Kigoma wana wiki nzima hawana umeme jana ndio umeanza kuwaka kwa masaa 24, Du kweli M4C inahitajika haraka.CHADEMA HAWAFAI
wana kila sababu ya kukabidhiwa dhima ya kuliongoza hili taifa baada ya chama dume ccm kisichozaa matunda ya uhuru miongo kadhaa zaidi ya miaka 48 kuliongoza taifa hili bado songea wanatumia generator kuwasha umeme.
chadema hawafai
tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa tz,chama pekee kilichoonesha nia thabiti ya kumuondoa mtanzania hapo alipo katika lindi la umaskini wa kutisha ni chadema,hawa chadema hawafai kabisa,wamethubuti kumlazimisha mkulu pamoja na baraza lake kubwa la wabunge wengi bungeni lakini limeweza kuwa mobilize na wakafuata upepo wao hatimaye mawaziri 6 wamepigwa chini.
Hawa chadema ni noma kabisaa,hawafai kulinganishwa na vyama vingine vya upinzani kama tlp,nccr,cuf,nld,adc n.k nk nk nk .hiki chama hakifai kabisa kulinganishwa na chama chochote cha upinzania hapa tanzania kwa mipangilio yake iliyo na mikakati imara inayosababisha hata viongozi wengi kutoka ccm kuhamia cdm.
Hawafai kabisa kuachwa hivihivi maana wakiachwa hii nchi itarejea kwenye ukoloni mamboleo,wana kila sababu ya kukabidhiwa dhima ya kuliongoza hili taifa baada ya chama dume ccm kisichozaa matunda ya uhuru miongo kadhaa zaidi ya miaka 48 kuliongoza taifa hili bado songea wanatumia generator kuwasha umeme.
Unasifia na kuponda at the same time.......no wonder tunafeli mitihani
CHADEMA HAWAFAI
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,chama pekee kilichoonesha nia thabiti ya kumuondoa mtanzania hapo alipo katika lindi la umaskini wa kutisha ni chadema,hawa chadema hawafai kabisa,wamethubuti kumlazimisha mkulu pamoja na baraza lake kubwa la wabunge wengi bungeni lakini limeweza kuwa mobilize na wakafuata upepo wao hatimaye mawaziri 6 wamepigwa chini.
Hawa chadema ni noma kabisaa,hawafai kulinganishwa na vyama vingine vya upinzani kama tlp,nccr,cuf,nld,adc n.k nk nk nk .Hiki chama hakifai kabisa kulinganishwa na chama chochote cha upinzania hapa Tanzania kwa mipangilio yake iliyo na mikakati imara inayosababisha hata viongozi wengi kutoka ccm kuhamia cdm.
Hawafai kabisa kuachwa hivihivi maana wakiachwa hii nchi itarejea kwenye ukoloni mamboleo,wana kila sababu ya kukabidhiwa dhima ya kuliongoza hili taifa baada ya chama dume ccm kisichozaa matunda ya uhuru miongo kadhaa zaidi ya miaka 48 kuliongoza taifa hili bado songea wanatumia generator kuwasha umeme.
Nilivyoona kichwa cha habari nikajua umechokoza nyuki. Haya endeleeni mie napita...
Mkuu kuna watu huwa hawana muda wa kufuatilia mantiki, wanaishia kwenye title tu. Utakuja uvune mitusi kwa staili yako hii! Shauri yako.