mkuu bora mzinifu anayependa nchi yake na kuionea huruma au bora mtakatifu anayeuza nchi yake??wabongo mmechanganyikiwa nyie,mmelogwa hamjui mlikotolewa wala mnakopelekwa
unaongea kama nani!? No body else like slaa
Mimi siwezi pigia mtu kura
anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts
katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi
hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama
zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila
kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI. Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo. Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi.
So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.
Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.
Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF. CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.
I LIKE THIS... Sijui mambo ya Ndoa ya slaa inahusiana vipi na wizi wa Twiga wetu?, mafisadi kutoshea 300bil uswis, Misamaha ya kodi kwa mabepari wanaochota madini yetu? ... Haya magamba makuwadi wa kuuza ardhi yetu wanataka kutuambia kuwa kelele za akina mama kumgombea Kidume ni mbaya sana kuliko ufukara na umaskini huu wakuletewa na CCM?... job true true ...
unakosea sana mzee kusema kua hoja yangu ni dhaifu..naamini kuwa kuna wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu, na ndio yanawafanya wasimpigie kura huyo bwana..kuna vitu ambavyo unaweza ona vidogo vikawa na impact kubwa kuliko unavyodhani..hisia pekee hujenga imani..kama hisia hamna basi imani hakuna..imani ndio mwanzo wa kila kitu..bila hiyo matendo hakuna..mimi sina imani na waropokaji period..ninahisi kua they have no substance at all
mkuu, tunahitaji sn ubongo wa dr slaa na c nyeti zake.
Mbona Kina Lau Masha wana wanawake Nje na Wamewajengea Majumba na Wako Kimya; Mbona Kikwete ana wake
zaidi ya Mmoja na Amekuwa Rais wa Nchi; Mbona Zitto Kabwe ana Mtoto na Hajaoa? Maisha ni Safari hasa Tanzania
Safari sio Barabara nyororo ina Milima na Mabonde; visiki na mitaro ni BONGO; Yaani Utamtukuza FISADI zaidi ya
Mkewenza?
Kwani unayosema ww huko ulipo yote tunayasikia? ww vipi? ameamua kwenda mahakamani baada ya kuona mzee anaoa tarehe 21 mwezi huu ndio maana akaamua adai haki yake kwanza. hana shida na mtu anachotaka ni haki yake asepe.Nenda kamuulize ROSE KAMILI tangu 2009 hadi 2012 mwenzake (Josephine)alipokuwa akitambulishwa rasmi kuwa ndiye mke mtarajiwa wa Dr. Slaa alikuwa wapi?.. ukishapata hilo jibu ndio uje na mada yako tuendelee kuchangia!!..
Mimi siwezi pigia mtu kura anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi