K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,151 Reaction score 18,753 Feb 23, 2017 #41 Chadema kimekosa dira,kinakwenda na matukio.Wakilipata tukio wanapiga kelele weee,tena mitandaoni,likishachuja wanasubiri lingine.Tunaowajua chadema hawatupi tabu hapo ndio mwisho wao,hawawezi kufanya makubwa zaidi ya kupiga kelele mitandaoni
Chadema kimekosa dira,kinakwenda na matukio.Wakilipata tukio wanapiga kelele weee,tena mitandaoni,likishachuja wanasubiri lingine.Tunaowajua chadema hawatupi tabu hapo ndio mwisho wao,hawawezi kufanya makubwa zaidi ya kupiga kelele mitandaoni