Ama kweli, nchi hii ni kama ya kusadikika. Maji hamna, barabara kwa Lwakatare yamekuwa mahandaki lakini bado hayo wala hata hayawahusu, wako busy na Makonda.Na hatutamuacha mpaka aje kujibu maswali yafuatayo kama alivyoulizwa na Paskali Mayalla;
-Majina yake yote matatu
-Majina ya wazazi wake wote wawili
-Shule alizosoma-Msingi, Primary na Secondary
-Ufaulu wake kidato cha nne na cha sita
Mzee macho manne ameshajibu ya kwake?.Makonda aende kujibu maswali au wewe mjibuji
Swissme
Kwani CCM hawana matatizo mengine isipokua CDM(Upinzani).Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Ww kumjadili makonda unaona ni hasara kwa taifa, ina maana ww mtu anapoonyesha majigambo na kuchezea kataba na kutoheshimu sheria unaona ni jambo dogo sijui ww utakuwa na masilahi gani kumtetea mtu anayetaka kuhojiwa kwa dharau ya mihimili mingine ya serikali au hujui alichokitenda, kadharau bunge na mahakama yote hayo yaachwe tu! Jitambue usifanye ww ndo wakili wake kama imekuuma sana kamtetee huko mahakamani na bungeni!Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Unasema si tatizoKwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Sasa karibu mwezi mzima madawa ya kulevya, mabange yana fyekwa saaaaaanaaaa. Kila siku TV, magazetye ni mafanikio tu ya kuteketeza haya madudu.Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Na wewe huna lingine la kufikiria zaidi ya kuwaza chadema..??Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwani wewe tatizo uliloliona ni hili tu la Makonda kwa nini usiandike tatizo lingine wakati kuna matatizo mengi tu.Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Huyu naye..
LISSU alitaja tatizo la watanzania kufa njaa akafunguliwa mashtaka..
MBOWE alilia na mabilioni ya wahanga wa Kagera(bilioni 12) yaliyoyeyuka akaambiwa atetemeke na yeye..
CHADEMA wamejadili na kuhoji KWA NINI ni wanafunzi 21,000 pekee ndio waliopewa mikopo na zaidi ya 50,000 kunyimwa wakaonekana wanamdrivedrive..
CHADEMA wamepigania bunge live LISSU akaishia ndani..
Mbowe alihoji KIONGOZI mmoja kuhonga wabunge milioni kumikumi,kidosho akamwambia kaa chini na kijamaa kimoja kikajibu "kama umesikia habari za chama fulani (kuhonga) si ukajiunge"
wametaka suala la mizigo kupungua bandarini lijadiliwe..wakajibiwa "BORA IPUNGUE"
WEWE UNATAKA WAJADILI MASWALA GANI ?
Matatizo mengine ni kama Njaa, ukandamizaji wa vyombo vya habari, na kushuka kwa uchumiKwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Hivyo ndivyo vyama vyetu vya Upinzani, vinaishi kwa Matukio!!! Tunawatengenezea tukio lingine soon!!
Huwa nacheka sana nikisikia mashabiki wa mpira yanga na simba wakibishanaMheshimwa Msukuma kumbe na yeye ni CHADEMA. Ama kweli njaa mbaya.
Eti na hii nayo ni postKwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Unavyowapoint chadema na ukawa kama ndio wanaoenda kuwasilisha kero za wananchi bungeni, kuwaacha hao wengine inamaana kwamba umeanza kuelewa kwamba ni misukule? Maana una-indicate kwamba ni watu wasio na efforts zozote za kuwasilisha kero za wananchi.Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?