Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
Eti ili wapate picha za huruma wampelekee Lisu azisambaze kwa wazungu wake waweze kuchukua dola, ha ha ha. Ukweli ni kwamba wataendela kutandikwa kama wahalifu wengine tu.Ungetegemea Wabunge wawe na busara zaidi, Halima si alitoka kabla ya wenzake sasa alifuata nini tena kule gerezani? Kiherehere chake kimemponza. Serikali zote duniani kama hufuati sheria utakula mkong'oto.
Wenzako walihitaji spotlight, na wameipata😂😂Nashindwa kuelewa nini maana ya siasa kwamba inafikia hatua watu wazima na akili zao wanashindwa kujua mipaka ya majukumu yao.
Kwanini msitambue wala kujua mambo hatari kwenye usalama wa nchi?
Vyovyote mfanyavyo, msivuke msitari mwekundu, si tu mtaumizwa bali pia mtauliwa kabisa na kutoweshwa Duniani.
Miongoni mwa mambo ya hatari ni pamoja na kuandama kwenda Ikulu au Magereza bila kibali, msirudie kabisa.
mbona ni kama naye kalazwa kwa mkomg'otoBwana ake mdee ana kazi sana
Acha ujinga jomba...Yani hata taratibu za usalama unataka ufundishwe. Kheeee...tumia akili yako ya kuzaliwa..taratibu mnaelezwa bado hamzitaki Basi tungeni za kwenu ndio mnapokutana na mkono wa sheriaNani aliandamana? Je kufika kwa wingi nje ya gereza kumpokea mwenyekiti wetu ni maandamano? Unaelewa maana ya maandamano.
Kwa kigalatia je unaweza kutofautisha protests vs demonstrations vs welcome home?
Wajinga wanapokutana matokeo yake ndio hayo..nimesema wajinga sio wapumbaf
Hehehehehe nimepita tu..kumbe ndio maanaNiliwahi kusema ukitaka kumnasa Ester Bulaya subiri alipo halima mdee. Cheki alivyonasa. Atakufa atamuacha Mdee.
Ye haoni kina Esther Matiko, Joyce Mukya, Suzan Kiwanga na wamama wenzao wametulia. Ye mapenzi yanampelekesha hadi hajui ashike nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ccm wanaruhusiwa kuingia ndani ya gereza kutoa mtu wao kwanini chadema wanyimwe haki ya kusogelea mlango wa gereza? chanzo cha tatizo ni ccm na serikali yake.