kama hakuna upinzani kwa nini mnaongea hadi mimate inawatoka kila saa? kwa nini mnatumia nguvu nyingi na vyombo vya dola? si mkaushe muoneMzee Zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani Tanzania. Nakubaliana na Zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.
Upinzani Wa Tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda CCM wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.
kafu ni mke wa ccm.... we mumeo huwa anakunyima UNACHOTAKA?Kila mara hapa ukumbini nawaeleza wenzangu katika CDM munakwenda ki jazba na fujo tu. Hamuna umakinifu. Nataka musome nyaraka zote za mswada kabla hamujaandika maana leo yale yote waliotaka CUF wamepata na lakusikitisha juzi viongozi wenu wa CDM wametamka hadharani kuwa wanakubali serikali tatu hahhahahahahah. Basi bado ngoja mwada ufike zanzibar usikilize changa moto ilioko. Hapo ndio mutakapo juwa siasa ni kitu gani. Bado nyinyi watoto kisiasa. hahahhahahahahahah
nawacheka na CDM yenu.
kafu ni mke wa ccm.... we mumeo huwa anakunyima UNACHOTAKA?
Mngegawana madaraka Zanzibar???uoni hilo nidoa kwa CCM??Endeleza fikira za KANU!Mzee Zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani Tanzania. Nakubaliana na Zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.
Upinzani Wa Tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda CCM wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.
mzee zomba alililjibu hilo, anaweka wote hao ni "system at work" na hakuna mpinzani tanzania. Nakubaliana na zomba na sasa hivi tutaona magwanda wanakaa kimya kama wa kabla yao.
Upinzani wa tanzania utaanza baada ya kizazi chote cha kuanzia 1985 kumalizika. We are talking at least 50 years from now, labda ccm wenyewe waamuwe kukiuwa chama chao.
Lakini sisi wananchi tumewaelewa kuwa walitafuta (CDM) every opportunity kufanya sheria hiyo iwe ya wananchi lakini ccm kwa kutumia ovyo wingi wao tunaona kilichotokea. La pili tulilothibitisha ni kuwa JK aliyokubaliana na CDM (na Werema akiwepo kama mshauri wake wa sheria na katiba) baadae amekaa na wabunge wa ccm kuyachakachua. Si mlimuona werema anakubaliana moja kwa moja na mabadiliko yaliyopendekezwa na wabunge wa CCM? Hapa ameonyesha udhaifu mkubwa sana maana ameshindwa kutetetea yale serikali iliyoyapeleka bungeni. MChezo umechezwa bungeni, kwa win gi wao wamepitisha na wataendelea kufanya hivyo hadi kwenye kuandika katiba na kuipitisha lakini nawahakikishieni iko siku atatokea kiongozi atatumia katiba hiyo hiyo na kuendesha udikteta. tusijelalamika!Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na plan kabisa mara watoke inje ya bunge, mara waombe kuongea kuongea na mtu aliye plan na kuandaa mchakato mzima pamoja na kuwatwisti mikono wachemkaji wa CCM mpaka wakapitisha, kutaka kuongea nae walikua wanategemea nini zaidi yakumpa tu ujiko, yaani asisaini wakati yeye na serikali yake Ndio wamelaipitishwe atawaambia nini wabunge wake