CHADEMA haina chao kusini

CHADEMA haina chao kusini

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,708
Reaction score
4,577
Nilikuwa mkutanoni, watu waliohudhuria uzinduzi ni wachache, na wote walikuwa wanawashangaa tu akina Mnyika na genge lao basi.
 
Hawana kitu CHADEMA uku ata mnyika ana mvuto kwa wananchi
 
Msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu
Ushirikiano wa vyama
Kumekuwa na shauku ya wananchi kwa sisi
kushirikiana na vyama vingine vya siasa ili
kufanikisha malengo yetu ya kuleta mapinduzi
ya kiuchumi kwa kuubomoa mfumo ...wa
uchumi unaonyonya wananchi. Msimamo wetu
upo wazi na tumeueleza mara kadhaa
1 tunaunga mkono juhudi zozote za kushirikiana
kwa vyama na hili linathibitishwa na jina letu
ALLIANCE na Msimamo wetu kuhusu mabadiliko
ya Katiba.
2 tunataka ushirikiano utakaonufaisha wananchi
na sio ushirikiano wa kugawana nafasi za
uongozi.
3 hatuna shida na Tupo tayari kushirikiana na
chama chochote kilicho tayari kushirikiana na
sisi ikiwemo UKAWA ili kuunganisha nguvu
kuitoa CCM kwa malengo ya kujenga uchumi
shirikishi wenye kuzalisha ajira nyingi na bora,
wenye mfumo wa hifadhi ya jamii kwa wananchi
wote na wenye kutokomeza umasikini.
ACT Wazalendo haijatoa kauli yeyote dhidi ya
UKAWA kama inavyoaminishwa na baadhi ya
watu. Bali tumeweka wazi kuwa lazima misingi
ya kiitikadi na kifalsafa izingatiwe katika
ushirikiano. Tupo tayari kwa UMOJA. UMOJA ni
moja ya misingi mikuu 10 ya chama Chetu na
Umoja ni nguvu.
Tupo tayari
 
Nilikuwa mkutanoni, watu waliohudhuria uzinduzi ni wachache, na wote walikuwa wanawashangaa tu akina Mnyika na genge lao basi.

..sio kusini t kifupi watanzania hat wataki hawa jamaa tshawastukia wanataka waihamishie ikulu moshi,,
 
Kulikuwa na haja gani ya kuanzisha chama cha siasa dakika za majeruhi kuelekea uchaguzi!
Msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu
Ushirikiano wa vyama
Kumekuwa na shauku ya wananchi kwa sisi
kushirikiana na vyama vingine vya siasa ili
kufanikisha malengo yetu ya kuleta mapinduzi
ya kiuchumi kwa kuubomoa mfumo ...wa
uchumi unaonyonya wananchi. Msimamo wetu
upo wazi na tumeueleza mara kadhaa
1 tunaunga mkono juhudi zozote za kushirikiana
kwa vyama na hili linathibitishwa na jina letu
ALLIANCE na Msimamo wetu kuhusu mabadiliko
ya Katiba.
2 tunataka ushirikiano utakaonufaisha wananchi
na sio ushirikiano wa kugawana nafasi za
uongozi.
3 hatuna shida na Tupo tayari kushirikiana na
chama chochote kilicho tayari kushirikiana na
sisi ikiwemo UKAWA ili kuunganisha nguvu
kuitoa CCM kwa malengo ya kujenga uchumi
shirikishi wenye kuzalisha ajira nyingi na bora,
wenye mfumo wa hifadhi ya jamii kwa wananchi
wote na wenye kutokomeza umasikini.
ACT Wazalendo haijatoa kauli yeyote dhidi ya
UKAWA kama inavyoaminishwa na baadhi ya
watu. Bali tumeweka wazi kuwa lazima misingi
ya kiitikadi na kifalsafa izingatiwe katika
ushirikiano. Tupo tayari kwa UMOJA. UMOJA ni
moja ya misingi mikuu 10 ya chama Chetu na
Umoja ni nguvu.
Tupo tayari
 
ila kusin wanafahamika....ni conservatism hao....::::::::dats y mwalimu aliwap kipau mbele akijua hawana madhara
 
Tunasubiri mkombozi wa wanyonge ACT-wazalendooooooh!

hamna cha ukomboz apo....fisi ni fisi....haina maana akibahatisha minofu atasahau mifupa!!kjana alitaka kuonyesha umaarufu lakin hakujua anacheza karata na fildmarshall(mbowe na t.lisuu the geneus).....kisiasa nauona mwisho wa ACT kama uleeeee wa TLP
 
..sio kusini t kifupi watanzania hat wataki hawa jamaa tshawastukia wanataka waihamishie ikulu moshi,,

kwani chadema makao makuu n moshi?ACT mnayemngoja kama mkomboz kafanya nn kigoma?maendeleo hyaletw na chama kaka ...n ww mwenyw...jwan kuhama kwa ikulu pataathr nn...mbona iko dodoma na wagogo hal ya maisha inazd kua mbaya.....👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
 
Back
Top Bottom