Chadema haikuwepo Dodoma Kimwili tu

Kwanini asilipwe maza ako?
Kwa Sababu Maza wake ameolewa!!! Anatunzwa na Mumewe

Lakini Maza wako anategemea Kuishi kupitia Wewe JF, Na Mhuni mwenzio Maria wala Hata hajui nini maana ya Uadilifu kwa aliyeolewa
YAANI MNAFANANA!!!
PIGENI KAZI MKONO UENDE KINYWANI
 
Ukiona unajadiliwa kwenye ufunguzi wa kikao wakati wewe haupo, basi elewa wewe ni mshindi.. kwa maneno mengine una umuhimu mno...star.

Ni sawa na kutokwenda kazini afu upigiwe simu kibao basi tambua wewe si wa kawaida...na position yako haigusiki.
 
Chadema ni kama katoto kajinga kanakozira kula huku Lana njaa. Na kadri kanapoona wengine wanakula na chakula kinaisha ndio kanazidisha sauti ya kulia ili kaitwe kale. Wanasaikolojia ya watoto wanasema, dawa ya haka katoto sio kukabembeleza, bali kukaacha kashinde au kalale njaa. Mwisho wa siku katatie akili.
 
Chadema ni kama katoto kajinga kanakozira kula huku Lana njaa. Na kadri kanapoona wengine wanakula na chakula kinaisha ndio kanazidisha sauti ya kulia ili kaitwe kale. Wanasaikolojia ya watoto wanasema, dawa ya haka katoto sio kukabembeleza, bali kukaacha kashinde au kalale njaa.
 
Baadae gharama za shuguri za chama za CHADEMA watawewa kukodi magari,mafuta,kulipia ofisi,kukodisha ofisi,na walinzi wanaojitolea .kwenye matukio ya kichama wapo kimya sasa sijui CHADEMA hizo ruzuku ni za nini?
 

Dunia walikuwa wanangoja leo ndio wajue cdm wanataka nini kwenye hicho kikao cha majizi ya kura?
 

Duuu naona unawachamba cdm, sasa kawapige na mto kabisa ili waumie.
 

wewe ndio umetoa ukweli kabisa
 
Eti huko mitandaoni, mbona n'a wewe umewafata huko huko mitandaoni. Si ungepeleka bandiko lako redioni na TV.


Umbumbumbu bhana
 
Huwezi kupuuza polical dialogue kwenye nchi hii ambayo misingi ya demokrasia imeparaganyika baada ya mwendazake kuivuruga ukasema wewe ndiyo mpinzani hongera kwa kufikisha panastahiri malalamiko ya wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…