chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
mwehu wewe! kwa nini kuna vyama vingi?
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
Katawaze huna udhu

Upuuzi huu kwanini Magamba walisimamisha wagombea?
kwa hiyo CCM haikushindana kwenye huo uchaguzi...ilikuwepo CDM peke yake...sio..?
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
.........jamaa wamechanganyikiwa kama barca na beyern ...uefa iliyopita...kura hazikutosha jamaa walikaba kila mahali wakashindwa kuchomekea mpaka othman kazi anapuliza kipenga wao nunge vijana wa mchini 4. Kiufupi joker limewafia mkononi
.........jamaa wamechanganyikiwa kama barca na beyern ...uefa iliyopita...
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
Nakubaliana na mleta mada