CHADEMA hai yaendelea kusambaratika

CHADEMA hai yaendelea kusambaratika

tycoon

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
510
Reaction score
569
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.

Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.
 
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka. Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.

Hopeless
 
We huna maana kabisa, chama kilichichukua kata zote ndicho unasema kinasambaratika?
 
sasa hapo chadema inasambaratika wapi? nadhani tatizo hapo ni uelewa wako tu ndo unakusumbua aka unasambaratika.

Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.

Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.
 
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.

Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.

MAFURIKO yanapoendelea kuzuiwa kwa mkono,DEKO zinaendelea kutulizwa na MAHABA yanapoendelea kupungua.Tanzania inajua na Dunia inajua.
 
Hai ni ya chadema prof alikuwa ameshachoka.....kugombea vyeo tu.....hawataki kaz
 
Mh Mbowe akiwa busy akibadilisha gia angani huku ardhini Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Professor Watoke amejiuzulu wadhifa wake sababu kubwa kwenye barua yake akiandika anashukuru Mungu kuwa sehemu ya Kampeni ambapo CHADEMA ilishinda kata zote,ila kaamua kuachia ngazi kabla historia haijamuharibikia na isitoche uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Haki haikutendeka.

Ikumbukwe mwezi wa kumi Katibu wa Chadema Hai alijiuzulu ambapo hiyo nafasi ipo wazi mpaka sasa. Kwa maana nyingine Mbowe hana Katibu Makao Makuu wala Jimboni.

Stay Tuned Makatibu kata wanafuata, then mtifuano wa Ruzuku.

Rejea utabiri wa Wasira;"CHADEMA"Itakufa kabla ya 2015
 
Cdm ni imara kuliko wakati mwingine na kuliko hata chama cha majizi
 
is it a political party or a group of people with similar traditional orientations? Look at the top Leaders they are All brother brothers and sisters from adjacent neighborhoods
 
Tanzania bila maprofesa inawezekana. Sijawahi ona mchango wa maprofesa kwenye siasa na hata katika kutetea maslahi ya wananchi. Kwa Tanzania akili ndogo inaongoza akili kubwa.
 
LUMUMBA WASIPO MWONGELEA MBOWE AU CHADEMA HAWAWEZI PATA USINGIZI KABISA kwanini usipoteze muda wako kujadili tatizo la AJIRA TANZANIA ? UKAWASAIDIA VIJANA!!
 
Cdm ni imara kuliko wakati mwingine na kuliko hata chama cha majizi

we unazungumza nini wakati mwizi namba moja tunaye tumemkumbatia! usitukasirishe saizi kamanda. wengine ndio wamejiunga juzijuzi tu ili waendelee kukishindilia chama shimoni
 
Kwenda zako wewe gamba mkubwa wewekafie mbele kule
 
Wakuu mlioko Hai tujuzane, ni nani aliekuwa chaguo la wengi kwa nafasi ya mkiti wa halmashauri hapo hai, ambae inaonekana amefanyiwa figisu figisu mpaka kuleta malalamiko na hata kusababisha prof kujiuzulu
 
Back
Top Bottom