CHADEMA fanyeni harambee kumnusuru Freeman Mbowe kisiasa na kiuchumi

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Kila mtu ana kitu kinachompa power ya kufanya vitu vingine. Wapo wenye nguvu nyingi kiasi cha kuweza kunyanyua vitu vizito. Ni katika nguvu hizo ndizo zinazowasaidia kufanya mambo mengine kama kujenga majumba ya kifahari. Wapo waliojaaliwa vipawa mbalimbali kama michezo nk. George Opong Weah alikuwa mchezaji hodari na mwenye heshima kubwa katika nchi yake ya Liberia. Ni kutokana na umaarufu huo ndipo alipojiingiza kwenye siasa na kugombea Urais.

Freeman Mbowe hana kipawa chochote. Mbaya zaidi hana hata elimu ya kuweza kumnyanyua kutoka daraja moja kwenda jingine. Umaarufu wa Mbowe umetokana na utajiri wa kurithi kutoka kwa wazazi wake. Si utajiri uliotokana na uwezo wake. La hasha. Ni kama kuokota dodo chini ya mchongoma.

Sasa hali yake kiuchumi imeanza kuyumba. Kwa sasa imefikia hatua mbaya sana kiasi cha kupunguza wafanyakazi kwenye makampuni yake kwa madai eti anapunguza gharama za uzalishaji. Ubunifu ziro. Cheo cha Managing Director wa Makampuni yake kimemshinda. Hana dira wala mwelekeo. Anasubiri kudura ya Mwenyezi Mungu kufanikisha mambo yake.

Nitoe rai kwa wana CHADEMA wote. Fanyeni harambee kumnusuru Mwenyekiti wenu Mbowe. Jahazi linazama. Kuzama kwa Mbowe kiuchumi maana yake ni kuzama kisiasa pia. Hana kingine kitakachompa power ya kupractice politics kwa ufanisi.

Mkimuacha Mbowe anafilisika kiuchumi maana yake mmekubali kukiondoa chama chenu kwenye ulimwengu wa siasa. Je mpo tayari kushuhudia hayo?
 
Mkuu raia wanakuulizia
 
Kamshauri kwanza kiongozi wenu arudishe hela za rambirambi kwa wahaya na akome kupora rambirambi kwa itamuongezea laana.

Mbowe ndo dume yenu anawafanya mapepo ya Lumumba yawasumbue hata hamlali kwa amani bila kumuongelea.
 
Njaa imetokana NA ukosefu ya mvua ya kutosha.
Kwani mvua kutonyesha ni Kwa mawlekezo ya serikali?
 
Back
Top Bottom