CHADEMA endeleeni na vijembe, CCM ilani inatekelezwa

mkafrend

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,045
Reaction score
1,503
Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
 
Hayo maswali jiulize wewe kwanza ndio uulize chadema
 
Jionee ulaghai wa CCM kupitia Ilani yao ya (2015 - 2020). - JamiiForums
 
Hayo yote yanatelekezwa kwa hisani ya KODI zetu na TASAF ni kwa hisani ya wafadhili, hakuna kitu mwana chadema ananufaika nacho kutoka ccm zaidi ya kuishi maisha ya kipuuzi kutokana na uongozi hovyo.
 
Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
Simba kufuzu robo fainali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
???????

Sasa ndio umeandika nini bibie?
 
Hiyo miradi wapinzani wanapata kwa kodi zao. Na huduma za miradi hiyo kama kusafiri kwa ndege, kupata maji ni kwa pesa zao. Huduma hizo achia mpinzani tu, hata mgeni akija atazipata kwa fedha zake za mfukoni. Kwa taarifa yako hata miundo iliyojengwa enzi za mkoloni wananchi walipata huduma kwenye miundo mbinu yao kwa kulipia. Ungeniambia kwamba kuna mwanacdm anapanda ndege bure, au kuwekewa miundo mbinu bure hapo ningekuelewa.
 
Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
CHADEMA endeleeni na vijembe, CCM ilani inatekelezwa
Wapinzani wanafikiri nini?
Wafuasi wa Seif wanaohamia ACT-Wazalendo wanafanya uharibifu, wizi wa mali za CUF wanapaswa kukamatwa na vyombo vya dola na Zitto na Seif kukemea hilo
Ghafla Zitto Kabwe amegeuka adui wa CHADEMA, Kila dalili ya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni baada ya uchaguzi mkuu 2020
Ukisoma hizo post hapo juu ni nani kati ya ccm na chadema anayeweweseka
 
Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
Mkiambiwa ukweli eti vijembe Miaka 60 ya uhuru leo ndio unapeleka maji , unajenga zahanati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Ungeniambia kwamba kuna mwanacdm anapanda ndege bure, au kuwekewa miundo mbinu bure hapo ningekuelewa.

Kumbe kelele zote hizo mnapenda kupanda ndege bure!
CHADEMA mbona mnaniaibisha - ni nchi gani duniani ambako wananchi wake hupanda ndege bure!
 
Hayo maswali jiulize wewe kwanza ndio uulize chadema

Dhamira ndiyo humsuta mtu - huna la kuandika sababu wewe ni mmoja wa watu walionemeeka kutokana na utekelezaji wa Ilani ya CCM
 
Back
Top Bottom