Chadema Digital yasababisha Tetemeko Rukwa , Maelfu ya Wananchi Wajisajili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,240
222,259
Kwa Mara ya kwanza nachukua nafasi hii Kuipongeza sana CCM kwa kuzuia Mikutano ya siasa , ki ukweli hiki chama kingeruhusu Mikutano ya hadhara iendelee kama katiba ya nchi inavyotaka kingekufa kibudu , Lisifahamike hata kaburi lake lilipo .

Picha hizi chache hapa chini ni mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chadema huko Mkoani Rukwa , Jimbo la Kalambo leo tarehe 29/10/2022 , Katika Mpango wa Kisasa wa Chama chake wa kusajili wanachama uitwao Chadema Digital .

Unaambiwa huko Ukumbini hivi sasa Mtiti wa kusajili si wa kitoto , Ukiachilia mbali Polisi , ni kama Jimbo zima linataka kujisajili , Hebu ngoja Tuone itakuwaje .

 

Hapo safi mkuu
 
Unajua CCM sijuhi kwa nini wanatudharau.hivi propaganda za jengo la makao makuu linaweza kutuzuia kujisajiri digital kweli??Sisi tunataka vitu vya msingi vifanyike.Kuna sehemu niliona chadema wamenunua gari mil 90 sikufurahi kabisa .wanunue gari za kawaida.Watanzania tunashabikia ufahari na kujionyesha tuna hela kumbe uhalisia ni wa pili kutoka mwisho
Kwa umasikini.
 
Sijakuelewa. Kununua gari la milioni 90 ni ufahari? Unajua bei za magari? Halafu kumbuka Chama hakinunui used.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
 
Woi hakuna lolote mbio za panya huishia sakafuni ndio hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…