Erick G. Mkinga
Member
- May 19, 2011
- 62
- 5
Rais mstaafu wa wanafunzi chuo cha ardhi (ARUSO) BW.Tegemeo,waziri mkuu wake Bw. BEga na Spika BW. Jikola wote wakiwa wanachama WA CHADEMA,wamekula njama wameiba pesa za Wanafunzi milioni 12.Dhamana waliyopewa wameshindwa kuitumia ipasavyo kiasi cha kusababisha wafuasi wa CHADEMA kuunga na CCM na kumpitisha Bw Mvungi kuwa rais mpya wa chuo kikuu ardhi na JUMA MKAMBA kama makamu (wote wanachama waCCM) sababu hawajaona Umuhimu wa kupigania kitu ambacho ni tabia ya mtu na siyo chama.WAmeamua kuchagua kiongozi BORA siyo CHAMA...Pongezi kwa wasomi kwa maamuzi BORA,...Tuzidi kuwapima na wengine ili tuchague wale walio bora tuu.
WAKATI wanagombea walisema wao ni cdm tuliwaamini tukawapa kura,sasa kwakuiba pesa za wanafunzi kwanini tuwatenge,na ndomaana mwaka huu tarimo vicent aliposema yy anagombea urais na nimwana cdm tukampiga chini fasta wana cdm wasikuhz waroooo wanaingia cdm ili wale tuu
unaongea utumbo cjui wa fisi,sijui wa nguchiro. . .kwani wewe unasoma hapo,?hebu andika insha yenye jumla ya maneno 50,inayohusu ''lishe bora'',then tujue tatizo lako liko wapi tukusaidie coz hueleweki.WAKATI wanagombea walisema wao ni cdm tuliwaamini tukawapa kura,sasa kwakuiba pesa za wanafunzi kwanini tuwatenge,na ndomaana mwaka huu tarimo vicent aliposema yy anagombea urais na nimwana cdm tukampiga chini fasta wana cdm wasikuhz waroooo wanaingia cdm ili wale tuu
wewe ni muongo mkubwa,me nasoma hapo na ni mwanachama wa CHASO,huo utumbo wako sijawahi kuusikia,MAGAMBA WEWE!Rais mstaafu wa wanafunzi chuo cha ardhi (ARUSO) BW.Tegemeo,waziri mkuu wake Bw. BEga na Spika BW. Jikola wote wakiwa wanachama WA CHADEMA,wamekula njama wameiba pesa za Wanafunzi milioni 12.Dhamana waliyopewa wameshindwa kuitumia ipasavyo kiasi cha kusababisha wafuasi wa CHADEMA kuunga na CCM na kumpitisha Bw Mvungi kuwa rais mpya wa chuo kikuu ardhi na JUMA MKAMBA kama makamu (wote wanachama waCCM) sababu hawajaona Umuhimu wa kupigania kitu ambacho ni tabia ya mtu na siyo chama.WAmeamua kuchagua kiongozi BORA siyo CHAMA...Pongezi kwa wasomi kwa maamuzi BORA,...Tuzidi kuwapima na wengine ili tuchague wale walio bora tuu.