mradi wako wa kitabu umefikia wapi? Siku ya kwanza umeingia tu unapisha bakuli hukujui hao ni wachagga? Ulifikiri uko buguruni kwa maalim ukipitisha bakuli unapeta tu. Huko kugumu ndugu yangu.mwakani kagasheki anakupiga kama umesimama.sina chuki nawe ila naichukia sana sisi m....... Yako na mtembei maana wote nyie mko kundi moja katika chama cha majambazi tanzania.
kWA HIYO ZITTO NI CCM? UNAJUA ZITTO ANASOMA HAPA? TARATIBU WEWE MGENI HUKO USIINGILIE UGOMVI WA WENYEJI.Ni jambo la bahati mbaya sana kwamba, ndani ya Chadema anaungwa mkono na vijana wajinga wa CCM.
Kuna msanii mmoja simkumbuki jina kaimba wimbo mzuri kweli, kiitikio chake ni ".......DUNIANI KUNA WATU NA VIATU.." sasa nimejua alikuwa anamaanisha nini.haswa kwa kumzuia Zitto na KUMPA MTOTO WAKE(MBOWE) UENYEKITI.KWELI MZEE HUYU OVYO NAKUUNGA MKONO.
Kanda 2, Sikuelewi. Zitto eti ni ccm? Najua anasoma na anachangia ktk JF. Kwa hakika tunastahili ufafanuzi toka kwake.
Ndugu zangu wana JF,
Inawezekana mawazo yangu yakawa yanawakilisha mawazo ya Wanzania wengi. Ninapenda sana mageuzi hasa yenye nia ya kuleta maendeleo ya Watanzania walio wengi. Nimekaa na CCM kwa kipindi kirefu sasa na inawezekana kama hulka za binadamu zilivyo, nikataka kuona chama kingine kikiingia madarakani kikiwa na mambo mapya.Naomba mnisaidie, hivi mbadala wa CCM katika masuala ya amani ya nchi, uzalendo, maendeleo NK inaweza kuwa Chadema?
Mabadiliko kwa sababu tu eti CCM imekaa madarakani muda mrefu au kuna hoja ya msingi? hoja gani hiyo ambayo CHADEMA wanaweza kuwa mbadala wa CCM? Binafsi naona Kama mbadala ni CHADEMA, basi bado sana.
Mabadiliko kwa sababu tu eti CCM imekaa madarakani muda mrefu au kuna hoja ya msingi? hoja gani hiyo ambayo CHADEMA wanaweza kuwa mbadala wa CCM? Binafsi naona Kama mbadala ni CHADEMA, basi bado sana.
"Tumefika hapa kwa sababu ya serikali DHAIFU ya CCM,wabunge DHAIFU wa CCM, rais DHAIFU wa CCM na umbumbumbu wa wananchi wa Tanzania"
Kajirita