Chadema chama kikuu cha upinzani kisichokua na sera

mkuuwamkoa

New Member
Jan 27, 2015
3
2
Chadema ni CHAMA kikuu cha upinzani kisicho na Dira wala mwelekeo wa kulikomboa Taifa Zaidi kimejikita kwenye porojo na propaganda ambazo hazina mashiko kwa Watanzania wa leo

Kwa siasa za zama hzi chini ya JPM jiandaeni kukaa pembeni tu kama vipi suseni hata kwenye uchaguzi ujao kwani ndo tabia zenu za kitoto kama mfanyavyo bungeni.
 
Back
Top Bottom