CHADEMA, chama chenye itikadi iliyofichwa

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Makamanda hamjambo!
Leo jumanne ni Siku ya mwisho ya mwezi December 2018, Naja humu Leo kwa uwazi bila kuficha chochote.

Chama changu hiki kinasifa kemu kemu ambazo MTU akizisimulia kwa uwazi humu razima apewe BAN ya nguvu utadhani ma-moderator ndio wanzilishi wa chama.
Kwa nitaja SIFA chache tu za chama changu chadema ambazo ndio ITIKADI HALISI ZA CHADEMA.

1: Ni Northern Alliance: chama kilianzishwa kwa kushawishi zaidi Na kutafuta wanachama zaidi ambao ni watu wa kanda ya kazikazini mwa Tanzania na ukweli kilifanikiwa. Lakini baadaye kikaanza kupoteza ungwaji mkono kutoka kwa watu wa kazikazini. Nini ilikuwa sababu ya kupoteza uungwaji mkono?

2: ITIKADI YA KUTETEA UOVU: Katika kujipatia umaarufu, chama kilianza kutetea watuhumiwa wa matendo maovu kama vile wauza madawa ya kulevya, inasemekana pia kiliunga mkono mauwaji ya kibiti, kutetea ushoga, kuandamana kwa fujo bila kibali nk

3: ITIKADI YA KUTETEA WAHUJUMU UCHUMI:chama kilijipa nafasi ya kutetea wezi wa rasilimali za taifa kama vile madini, na wanyama pori.

4: ITIKADI YA KUJIUZA KWA MABEBERU: Itikadi hii ni nguzo kuu ya chadema na tayari chama kilishapata dawati kwa mabeberu kwa ajiri ya KUIUWA TANZANIA Na kwa bahati mbaya wanachadema hushangilia sana ikitokea taifa la magharibi linagoma kutoa msaada wa kifedha kwa Tz, utadhani wanachadema wao wanaishi mbinguni kumbe tupo nao humu kama ni matatizo yatatukumba wote cdm, ccm vyama vingine na sisi tusio Na chama.

5: ITIKADI YA USIRI WA MATUMIZI YA RUZUKU.Maelfu ya wanachama hawajui Pesa za ruzuku zinaenda wapi! Tangu kianzishwe hakijajenga hata Choo cha shimo.Anaejua matumizi ni MTU mmoja tu Na familia yake, Na kwa uchache njia inayotokea hawajui hata kama mamilioni hupitia kulipa mawakiri kwa KESI za kijinga jinga, wanachama hawajui.
ITIKADI ZINGINE LETENI HAPA TUZIFAHAMU ILI CHAMA KIWE IMARA KABISA.
 
Utakuwa Kibajaji kama sio Musukuma wewe.... Hongera kwa udadavuzi na ukakavuzi mzuri mkuu.
 
Madhara ya kuandika nyuzi huku uko siku zako alafu huna ela ya pedi ndio haya
Kajistiri kwa wewe dada then uje kuandika upuuzi mwingine
 
Back
Top Bottom