msemakweli10
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 229
- 46
Hakuna chama kinachosisimua damu za watu kama CHADEMA.
Kwa hali hii inaashiria wazi kushika hatamu msimu ujao.
Chama kimejaa viongozi wanaojua kupangilia hoja zenye mashiko na zinazopelekea imani ya maendeleo katika uchaguzi ujao.
Mbali na hayo chama kimejaa wazee wenye busara ambao walikuwa meza moja na Mwl Nyerere.
Tunatumaini kwamba upendo walio nao watanzania kwa CDM ni sauti moja yenye kudhubutu kukiingiza madarakani 2015.