Wakuu Najua Ntajuta Kwa Crash Ntazopata Hapa Lakini Nilazima Niseme Na Pakusemea Mimi Ni Hapa Tu
Binafsi Mimi Kama Mwanachama Hai Wa Cdm Napenda Sana Kwa Mikakati Yake Na Haswa Pale Walipoweza Kupambana Na Hujuma Za Ccm Ambayo Hutumha Dharama Yoyote Kudhofisha Upinzani.
CHADEMA Kama Wanavyojiita Kuwa Wao Ni Mpango Wa Mungu Wameweza Kupambana Na Hujuma Izi Na Twaweza Sema Wamefanikiwa Kwa Kiwango Cha Juu Wananchi Wamewaelewa Ila Tatizo Ni Kuwa Nani Sasa Alie Bora Cdm Asimame Awe Rais Wetu Atukomboe
Nianze Na Slaa Umri Umepa Mkono Na Tunaona Kama Kazi Hi Inamwitaji Kijana Mwenyd Ari Na Nguvu
Mbowe Elimu Yake Haitoshi Na Pia Si Mtu Anayeweza Kufit Kwenye Ikulu Yetu Tukufu Kutokana Na Kujichanganya Na Kila Mtu Kama Rais Wetu Wa Sasa Alivyokuwa. Sasa Nani Bora Chadema Tumpe Mikoba Atuvushe?

Tumpe paleso anatosha mkuu.
sasa tukusahidie nn au ndio viroba vya buku vinakupereka lesi ? hacha ujinga ww kijana bhana bila cdm hungejuwa neno fisadi .
Namfahamu, ni Milembe case.waliofanya chama kuwa bora wanashindwaje wao kuwa bora? akili hazikutoshi.
Vipi Lema naona ni mtu makini sana kuwa mgombea wa Chadema kwenye urais.
MKUU una uhakika mimi ni GAMBA kweli?ebu jaribu kufuatilia michango yangu ktk mada nyingine utaijua tu sura yangu halisi.Nimegundua mbinu ya migamba mingi ya hapa jukwaani baada ya kuona wanashambuliwa sana kwa kila propaganda wanazozianzisha hapa ndani, wamebuni mbinu mpaya. Nayo ni kusajiri Id mpya na kujifanya wanachadema, baada ya muda mfupi wanaanza kukishambulia chama na wanachama kwa ujumla!!! Hili nimeliona kwa TEKNOLOJIA na wengine wengi tu hapa ndani sasa naona katabiaw haka kanashamiri, Tutapambana na Migamba hata mje na sura gani.!!!!!
Back to the topic,
Eeeenhe Hijja Madava, Eti Chadema haina watu bora sio.? "Mbowe hana Elimu" (unaweza kutuwekea hapa elimu ya Mwinyi/Kikwete...)
Eti "Dr Slaa umri umempita"... Kwani unataka kummpa mke mwingine?? Hivi kina Lissu huwaoni,Marando,Prof.Safari??
Tambua bila watu makini Chadema isingefika hapo ilipo, na kamwe usije ukarogwa kwamba Chadema ni hao Kina Mbowe,Slaa,Safari,Mnyika,Mdee.. etc
Kalaghabhaho..!!!!!
N.b, huna haja ya kujifanya mpenzi/Shabiki wa Chadema ndipo umwage sumu zako hapa ndani, Njoo kwa sura yako halisi upate unachostahili.
BACK TANGANYIKA