CHADEMA bye bye kata ya UBUNGO 2015.

CHADEMA bye bye kata ya UBUNGO 2015.

Sezariziki

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
35
Reaction score
2
Mimi ni mkazi wa Ubungo na nipo ndani ya kata hii kwa zaidi ya miaka mitano sasa.Jambo la kusikitisha kuna mtu anaitwa Boniface ambaye ndiye diwani wetu lakini wananchi wa huku wameshasahau sura yake.Katika Uchaguzi uliopita naamini nguvu ya Chadema hasa Mh Mnyika ndio ilimpitisha. Wananchi hasa wa mtaa wa Ubungo Nhc ndio kawatupa kabisa yaani akionekana jua ni joto la Mnyika kwenye mikutano yake. MIMI NI NAAPA HUYU JAMAA AKIENDELEA HIVI CHEDEMA KATA YA UBUNGO ITAWAPONYOKA 2015.
 
ubungo nhc ipi kamanda? Maana najua hii ni ngomd ya chadema magamba mwiko
 
Wenzio wabunge wetu walihamia DSM siku nyingi wakija jimboni wanafikia hotelini
 
mkuu kwa kauri zako zinaonyesha hata uchaguzi uliopita hujampa kura. mia
 
mwaka wa uchaguzi ukifika usimpe utaniuzia kwa andazi na kofia
na mimi nikinunua hutaniona tena nitaanza kurudisha gharama yangu ya andazi na kofia mwaka 2015 nitaongezea na nguo za ndani kaa tayari
 
Kama kiongozi ni lazima awe karibu na watu wake!!Lema tunamkubali Arusha kutokana na ukaribu wake na wapiga kura wake,siyo kwa kujenga shule,hospitali wala barabara!! Ni bora tu tumkumbushe Mh diwani/mwenyekiti huyo kuwa wapiga kura wake wame m mmisi!!tumuombe atenge muda kidogo akawaone na kuja matatizo yao,inawezakuwa wanataka tu kumsalimu!!who knows? Tusijibomoe jamani, Peeeeopleeeees!!!!!
 
Nilidhani haendelei kutimiza ahadi zake kumbe tatizo huwa humuoni labda uende ofisini kwake kamuulizie maana wengine madiwani huwa bize kwa maendeleo ya kata zao.
 
Mimi ni mkazi wa Ubungo na nipo ndani ya kata hii kwa zaidi ya miaka mitano sasa.Jambo la kusikitisha kuna mtu anaitwa Boniface ambaye ndiye diwani wetu lakini wananchi wa huku wameshasahau sura yake.Katika Uchaguzi uliopita naamini nguvu ya Chadema hasa Mh Mnyika ndio ilimpitisha. Wananchi hasa wa mtaa wa Ubungo Nhc ndio kawatupa kabisa yaani akionekana jua ni joto la Mnyika kwenye mikutano yake. MIMI NI NAAPA HUYU JAMAA AKIENDELEA HIVI CHEDEMA KATA YA UBUNGO ITAWAPONYOKA 2015.

Hizo ni ndoto ndugu atapotezwa yeye ila siyo chadema kupotea ubungo ndugu yangu cha kufanya tafuteni mtu makini ambaye mtamsimamisha
kipindi cha uchaguzi watu awakuwa na chaguo kwa sababu walikuwa wamechoka na ccm ndo maana hata watu ambao awakuwa na sifa walipita kuwa madiwani ilikuwa ni zali la mentari
 
Wee mnafiki tu, kamanda bon yupo imara sanaaa, sasa anapambana na kero mbili kuu katika kata yake kituo cha ubungo na machinga....

Jamaa ni mchapakazi sanaa
1. Ndie raisi wa machinga dar na mtetezi
2. Mwenyekiti wa madiwani kinondoni/dar wa chadema.
3. NHC ubungo awanashida naye kabisa na juzi alikuwa hapo.

Kamanda bon piga kazi.
 
Back
Top Bottom