Diranqw
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 160
- 72
Kazi aliyoifanya naikumbuka,na chama inajua hivyo sasa bila huyu simba wa siasa za Tanzania sidhani na sitegemei kama upinzani wa nchi yetu utakuja kutengamaa.
Haiwezekani waliotoka CCM na madoa wakatuvusha,ni heri kama JPM ataendea hivi aongoze kama Mugabe na M7.
Taa ya Dr.Slaa itaendelea kumulika ndani ya chadema mpaka wale wote wapiga dili na wakimbizi toka ccm watakapo jisalimisha la sivyo chama kitaenda mrama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.