Chadema bado wachanga-kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema bado wachanga-kisiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Piriton, Jul 2, 2011.

 1. P

  Piriton Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CDM wameingia muafaka na CCM, Ni muafaka wa kwanza kabisa duniani usio na mazungumzo ya pande mbili zinazovutana. Kwa hili inatuonyesha ni jinsi gani chama hiki kimewasahau wahanga wal6waga damu yao wakidhani wanapigania umma kumbe ni njaa inawasumbua. Hongeren CUF mliweza kuwa wavumilivu, mlikosa posho zenu kwa zaidi ya miaka 3 ktk muafaka no 1 bila posho wala mafao hadi leo matunda xa serikali ya kitaifa. Wenzenu hawa CDM miezi 4 tu wameshalegea wawepamoja bila makubaliano yoyote kule AR.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  we ndio bado mchanga kimawazo...
   
 3. i

  in and out Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoma ya kitoto haikeshi, ni wa kuwasamehe walikuwa hawajui siasa ni mdoriani mkuu
   
Loading...