Chadema bado wachanga-kisiasa

Chadema bado wachanga-kisiasa

Piriton

Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
8
Reaction score
2
CDM wameingia muafaka na CCM, Ni muafaka wa kwanza kabisa duniani usio na mazungumzo ya pande mbili zinazovutana. Kwa hili inatuonyesha ni jinsi gani chama hiki kimewasahau wahanga wal6waga damu yao wakidhani wanapigania umma kumbe ni njaa inawasumbua. Hongeren CUF mliweza kuwa wavumilivu, mlikosa posho zenu kwa zaidi ya miaka 3 ktk muafaka no 1 bila posho wala mafao hadi leo matunda xa serikali ya kitaifa. Wenzenu hawa CDM miezi 4 tu wameshalegea wawepamoja bila makubaliano yoyote kule AR.
 
ngoma ya kitoto haikeshi, ni wa kuwasamehe walikuwa hawajui siasa ni mdoriani mkuu
 
Back
Top Bottom