CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

Mbona kama ni porojo tuu CCM nao wasingezishindwa.Pengine hujapenda elewa CDM ipo hatua kibao mbele ya CCM.So nadhani ungesema vyema kama ungesema kasi yao ya ukuaji na uwezo wao wa kufanya vitu huku wakiwa wapinzani haujaweza imagine .Pengine ingekuwa fair analysis.Ila kuongea kijuju tuu na kuhitimisha kama hivi ni upofu,ambao upo karibukwa kila mwanaCCM asiyekuwa na muda wa kusikiliza habari na kuelewa yote yanayofanyika na CDM katika siasa za nchi.CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Naichukia sana simba sport club inafuatia chadema
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Inatia huruma kweli. Kwa mwenye akili kidogo bila za mbayuway hahitaji kuelezwa huu uzandiki hapa.CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Kabla ya yote anzeni kufuta hii tabia yenu ya udini na ukabila halafu mpumzisheni mzee Slaa, mbowe na Zitto wanauwezo mzuri zaidi kuendeleza chama. Uvumilivu na busara za Slaa zimepotea zote, amekua mzee wa lolote na liwe.kwa kuwa cdm wanaleta vurugu nchini kwa harakati zao, unashauri nini kifanyike. Wakae kimya? Waendeshe vipi harakati zao? Mbinu mbadala toka kwako zitakuwa na manufaa sana