Hawa ndio majasusi wa CCM, hovyo kabisa. Saizi wao wangekaa kimya maana Mungu kawanyooshea kidole. Watubu, wauwaji haooooo. Eti CDM badilikeni, unataka wafanye nini? Alieua ni nani?Huna akili, polisi waue kwa amri ya CCM useme Chadema, kajipange hatudanganyiki. ushindwe tena ulegee
Vijana wote wanaosafiri na fuso za M4C wanakuwa wamelewa saa zote, hii ndio sababu kuu ya vurugu.
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Nakumbuka makaburu walisema hivyo hivyo, na waliua hivyo hivyo kama CCM, Lakini mwisho wa mambo Mandela Ikulu. Ndio maana aliwadharau sana CCM alipokuja Tanzania mara ya mwisho.BOLDS: una umakini gani? katika lipi? au katika kupanga mipango ya wizi, au umakini wako upo ktk lipi? TUELEZE.
CDM wanaleta vurugu ee! NA MAKABURU walisema hivyo2 ANC ya AKINA MANDELA inaleta vurugu ili nchi isitawaliwe, isitawaliwe na nani? na wezi eti? CDM wanavurugwa, wanatanywa ... na CCM inayotaka CDM isifanye shughuli zao za kisiasa. CDM ni chama cha siasa, kwa ajili ya harakati za kisiasa za kushika dola (siyo NGO ya kukaa ofisini na kutoa matamko) - CDM haiwezi kukubali kuzuiwa kufanya siasa, na hasa ikikumbukwa kuwa CCM tangu vyama vingi vianze 1992 kete yake ya kuombea kura ilikuwa ni kwamba 'msiwachague hawa, wao ni vyama vya msimu' sasa mbona CDM inataka iwe chama cha kudumu kama CCM walivyokuwa wakiomba iwe, mbona inakuwa nongwa tena? CDM WASIKUBALI, kama noma naiwe noma...
KAMA CDM ni genge la wapiga porojo, sasa si ndo sawa kwa serikali iliyo madarakani maana wananchofanya ni porojo tu, sasa mbona tena noma? HUNA HOJA MAFILILI ...
hapo umwsema kweli au upumbavuu ukiiona kweli utaijua wewe,wana chadema wanaandaa mikutano yao kwa amani kabisa katikati polisi wanaingilia na kuleta fujo unasema ni CDM KAJIPANGE DOGO AU KANOE HUO UBONGO WAKO FUATILIA PICHA NA HABARI MBALIMBALI JE HAWA NI cdm?Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA
tatizo kubwa la wafuasi wa CDM ni kutokuwa na upeo wa kuona uhalisia wa hali ya siasa nchini mwetu. Pia wana CDM mlio wengi ni mabingwa wa kutotii mamlaka za kiserikaliWewe gamba na kibaraka mkubwa wa kufikiri kwa makalio tenda endelea kuwa gamba. CCM ndio inazidi kuzama,jiulize kila mnavyopandikiza maneno ndivyo mnavyozidi kukataliwa!!!!!!!!!!!!Habari ndiyo hiyo hata Sumaye wako naye anajua serikali ya magamba ni tatizo. Eti cdm inapoteza mvuto nyoooooooooooooo,nenda mikutanoni nan leo njo Pugu ujionee mwenyewe live shoo.
pia cdm imekosa uongozi madhubuti
pia cdm imekosa uongozi madhubuti
Narudia maneno yangu, unalewesha vijana mchana wa jua kali halafu unawapeleka kwenye mkutano, matokeo yake ni nini?Mara zote polisi hurusha mabomu kunapokuwa na kutotii amri kama inavyofanywa na wana CDM. Jana waislam hawakukaidi amri za polisi hivyo mabomu hayajarushwa. CDM ni wakati wa kubadilika!
nimeamini ni vigumu kumbadili mfuasi wa CDM. Ukweli unabaki palepale CDM ni wavunjaji wa amani nchini mwetuHoja zingine sidhani kama akili ya mtoa hoja anaamini alichokiwakilisha. kama unaakili timamu hoja kama hii lazima ipingane na fikra sahihi kichwani mwako kuwa si sahihi.
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
nimeamini ni vigumu kumbadili mfuasi wa CDM. Ukweli unabaki palepale CDM ni wavunjaji wa amani nchini mwetu
Mara zote polisi hurusha mabomu kunapokuwa na kutotii amri kama inavyofanywa na wana CDM. Jana waislam hawakukaidi amri za polisi hivyo mabomu hayajarushwa. CDM ni wakati wa kubadilika!