FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 378
Magu aliposema CHADEMA kufikia mwaka 2020 na upinzani wote utakuwa umekufa
Hawakumwelewa
Nasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Siasa haihitaji kushabikiwa. Una mawazo potofu kabisa. Siasa inahitaji kusimamiwa ili haki itendeke. Kila raia anawajibu huo. Kumbuka: Sio kushabikia bali kusimamiwa.Hivi huwa mnashabikia nini kwenye siasa mbona Mimi huo mzuka sinaga yani kama vile mpira
Unashindwa kula kisa upumbavu wa mtu mwingine?? Hii ishu ikoje??
Yaan ufanye ujinga wako mimi niumie??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora umechagua kumuelewasasa wanamwelewa
Hivi mmesoma shule gani nyie watu? Nikujitoa ufahamu kwa kuwa mko kwenye ulaji au ni kukosa akili?Wangekuwa hawajaenda ndio haki yao ingepatikana?
Wiki lazima iwendefu kwa maumivu, maana kuna watu wamekikeketa chama bila ganzi..😂🤣😜[emoji23][emoji23][emoji23] mtaongea kila lugha hii wiki halafu inaonekana ndefu balaa
We ndiyo usiongee kabisaa .nilikuwa nikiwaambia cdm ni ccm hamsikii,mkomeee!!Nasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Nyinyi ni mashabiki na badoSiasa haihitaji kushabikiwa. Una mawazo potofu kabisa. Siasa inahitaji kusimamiwa ili haki itendeke. Kila raia anawajibu huo. Kumbuka: Sio kushabikia bali kusimamiwa.
Mkuu uko kama miye. Na mijitu mingine mpaka inauliwa ikiwa mbele kwenye maandamano. Ukiiuliza unapigania nini hasa hata haijui. Halafu kesho na kesho kutwa hao hao unaowapigania mpaka kuhatarisha maisha yako unawakuta wako pamoja wanafakamia keki ya taifa. Utopolo mtupu na kamwe sitakaa nishabikie mwanasiasa !Hivi huwa mnashabikia nini kwenye siasa mbona Mimi huo mzuka sinaga yani kama vile mpira
Unashindwa kula kisa upumbavu wa mtu mwingine?? Hii ishu ikoje??
Yaan ufanye ujinga wako mimi niumie?