Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.

kweli siasa ikishakuwa dini inakuwa mbaya sana. Ulitaka wafanye nini labda? Wajifungie ndani? Watoe vyote walivyo navyo?Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
hujasikia kuwa wametoa mil 20?
kweli siasa ikishakuwa dini inakuwa mbaya sana. Ulitaka wafanye nini labda? Wajifungie ndani? Watoe vyote walivyo navyo?
Ni vizuri wangetumia umaarufu wao kufanya fund raising kuwasaidia wahanga lakini sijui wao wamejipangaje. Ila comment yako imeniudhi maana siasa imekufanya kipofu. Mungu akusaidie!
Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
Ni milioni 25 mkuu,ccm milioni 4
Kaipenda katuni lakini hajui ujumbe uliobeba ile katuni!naona umeshakopi and paste,katuni.katuni yako na mchango wako ni vitu viwili tofauti
Mpaka Slaa anatoa waraka wake, hamna mwanachadema yeyote aliyekuwa amefika kwenye eneo la tukio including Slaa mwenyewe. Baada ya kuwasema hapa ndio wameamua kujibaraguza.
Inabidi watambue kuwa, maafa kama haya inategemea mtu umeguswa vipi.kutoa hela nyingi siyo kigezo cha kuguswa sana. CDM inabidi wajifunze kuact on the spot, siyo wasubiri tuwaseme hapa ndio wakafanyie kazi maoni yetu.
Nawashukuru sana viongozi wa CDM kwa kupenda kuchukua maoni yetu hapa. Huwa wanajidai kutupinga lakini baadaye kinawaingia na kuyafanyia kazi.
Wanawapiga tu porojo wananchiUmeona ehee!!