E exptech New Member Joined Dec 15, 2014 Posts 2 Reaction score 5 Dec 16, 2014 #1 Habari za asubuhi wanajamvi. Katika kupita pita kwangu mtandaoni, nimekutana na hili linaloonyesha jinsi gani upinzani umejipanga vyema kiteknolojia. Kuna application mpya ya chadema ambayo unaweza kuiDOWNLOAD hapa .
Habari za asubuhi wanajamvi. Katika kupita pita kwangu mtandaoni, nimekutana na hili linaloonyesha jinsi gani upinzani umejipanga vyema kiteknolojia. Kuna application mpya ya chadema ambayo unaweza kuiDOWNLOAD hapa .
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,985 Dec 16, 2014 #2 ya kawaida sana! hawana jipya chagadema
N NnyaMbwate JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,678 Reaction score 1,204 Dec 16, 2014 #3 Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... Hebu tuwekee ya CCM ama UDP!!
Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... Hebu tuwekee ya CCM ama UDP!!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Dec 16, 2014 #4 Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... wivu hukaa kifuani mwa mtu mjinga.
Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... wivu hukaa kifuani mwa mtu mjinga.
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Dec 16, 2014 #5 Inawasaidia nini wananchi wanyonge kupambana na umaskini?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,369 Reaction score 100,417 Dec 16, 2014 #6 Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... Naunga mkono Mpwa, Chagadema hawana jipya ila Chadema wana jipya, CCM sasa hivi makalio yanawawasha kwa kucharazwa bakora na Chadema serikali za mtaa. Ipo App ya UKAWA, iko poa pia
Obama wa Bongo said: ya kawaida sana! hawana jipya chagadema Click to expand... Naunga mkono Mpwa, Chagadema hawana jipya ila Chadema wana jipya, CCM sasa hivi makalio yanawawasha kwa kucharazwa bakora na Chadema serikali za mtaa. Ipo App ya UKAWA, iko poa pia
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,369 Reaction score 100,417 Dec 16, 2014 #7 MSALANI said: Inawasaidia nini wananchi wanyonge kupambana na umaskini? Click to expand... hahahhaaaaa hili swali mngajiuliza CCM, mmewasaidiaje wananchi kwa miaka zaid ya 50???
MSALANI said: Inawasaidia nini wananchi wanyonge kupambana na umaskini? Click to expand... hahahhaaaaa hili swali mngajiuliza CCM, mmewasaidiaje wananchi kwa miaka zaid ya 50???
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Dec 16, 2014 #8 Wivu hukaa kifuani mwa mjinga na mchawi nyie miaka 53 ya ukoloni mambo leo mna nini cha kujivuni nyie wakaanga sumu.
Wivu hukaa kifuani mwa mjinga na mchawi nyie miaka 53 ya ukoloni mambo leo mna nini cha kujivuni nyie wakaanga sumu.
UkoowaMagorombe Senior Member Joined Jan 25, 2014 Posts 191 Reaction score 45 Dec 17, 2014 #9 Good Apps keep it up!