Hujui mpaka leo?
mkuu tayadi upepo ukivuma huku wanasema kunafaa, ukihamia huku wanasema naaamu. thats y nimeamua kuomba ushauri kwenu wajuzi. pamoja tuijenge tanzania yetu
Ukombozi wa kweli unahitaji dhamira ya dhati na kufahamu sera na mrengo wa chama unachotaka kukitumikia. CCM kama imeongoza vizuri kwa miaka 50 iliyopita jiunge nacho. Kama sivyo jiunge na wapigania ukombozi CDM - kutoka kwa yule wamwitaye mkoloni mweusi.
vipimkuu ndo ushauri wako huo??? nipi serios na nikisemacho, then unakuja in short why???:boink::boink::boink::boink:pamoja tuijenge tanzania yetu
Wanajamvi,
Nimefikiria sana nikaona niachane na siasa za kishabiki mara huku mara kule, ilimladi tu upepo unapovuma. Nahitji kukaa nikatengamaa nifungane na chama kimoja tu. Cheni thabiti ya kutuvusha katika hili vuko lijalo kubwa sana kuelekea 2'15.
Najua na naami hasa hapa jamvi hapokesekani wajuzi, wazoefu zaidi wa siasa. nishaurini ili mapema niende nikajiunge ili nami niwe mwanachama halisi, nisieyumbishwa wala kufuata upepo.
karibuni kwa ushauri wenu wakuu. Pamoja tuijenge Tanzania yetu nzuri.
Binafsi nafikiri Kiongozi bora ndio atakae kufaa, chama hakitakusaidia chochote ndugu yangu.
We unaona raha eh tukiitajataja CDM humu eh
you better do that my dear, nchi imeoza tayari lakini kabla haijatupwa kwenye dustibin, watanzania wote tunayo nafasi ndogo sana ya kuisafisha na kupulizia pafyum. Ucku mwema.thanks alote my;; hayo ndiyo niliyokuwa nayahitaji from them.. at the first nilijua ni chama kumbe ni kiongozi bora??? i promise you that i will take it from you.
More:yo::yo::yo::yo:pamoja tuijenge tanzania yetu nzuri.
mimi nadhani c.c.m 2015 itapita kiulaini tu nina sababu zaidi ya 75 tatizo ni mda tu wa kuzifafanua,chadema imechukua picha ya kiudini zaidi,(mrengo wa kushoto)waislamu ikiwa ni 67.5% ya wa tz,nadhani mtakuwa mtajua matokeo yatakuwa vipi!

we upo huku?