Duh tumefika huko tena kuanza kutekana? Kuna tofauti yoyote na wale watekaji wa meli kule baharini? Nakumbuka Masabah wa CUF!imekuwa kawaida sasa, hizi mbinu za kutekana kwa vyama vya siasa, inamaanisha nini kwa siasa zetu za kibongo???
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria

Au kama jeshi litasuwa suwa basi tupewe Benno tu-deal nae kimtaa zaidi
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria
imekuwa kawaida sasa, hizi mbinu za kutekana kwa vyama vya siasa, inamaanisha nini kwa siasa zetu za kibongo???
help the members to translate the story in swahili.
u posted a very important issue but u lack communication skill