Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
TZ ni kichwa cha mwendawazimu
Leo majira ya saa 12jioni Taifa Stars inakipiga na CHAD mechi ya mchujo wa kuwania tiketi ya kombe la dunia 2014 kule kwa wazee wa Samba. Timu inataraji kuwa hici,
Juma Kaseja,
Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Juma Nyoso, Idrisa Rajab,
Shabani Nditi, Henry Joseph, Abdi Kassim,
Nizar Khalfan, Mrisho Ngassa na Mbwana Samata.
Ushindi lazima, Mungu Ibariki Tanzania, nitawajuza yanayojiri huko....
Mbona napata warning kuwa kuna virus katika hiyo link? Nisijali? Niendelee tgu na sitapata virusi?Presha inapanda presha inashuka goma la CHAD na Stars linaanza half an hour to come, wenzetu kenya washambonyeza Ushelisheli 1-0 dakika ya 60 sasa, ukiyaka kuangalia live game ya Stars gonga hapo chini
MATCH DETAILS
Competetior: Chad vs Tanzania
Date: Friaday 11th November
Time: From 15:00 GMT
Competetion: 2014 World Cup Qualifying Soccer
Status: Live
WATCH HERE