Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Dr. Slaa nawakumbuka makamanda

Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Dr. Slaa nawakumbuka makamanda

Simple

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
249
Reaction score
121
Nawakumbuka sana wanachadema hawa..hakika nilivutiwa na hamasa zao za kuiona Tanzania yenye mabadiliko
 
kwa hao wanaosuasua na kususa,mabadiliko tungeyangoja sana,acha laigwanan,atuingize nchi ya ahadi sasa!...
 
Ahadi ipi mkuu,,,huyu tajiri anaweza kweli kutukumbuka maskini,,,???
 
hawa wote wamepotea kwa sababu ya akili ndogo ya management ya juu ya chadema chini ya kilaza mbowe
 
Lowassa nae siku Pesa zake zikiisha Mawio litaandika limenasa mawasiliano ya Email anatumiwa na watu wa Usalama wa Taifa.
 
Lowassa nae siku Pesa zake zikiisha Mawio litaandika limenasa mawasiliano ya Email anatumiwa na watu wa Usalama wa Taifa.

Laiti bado Kuna mtandao wa Vodacom,,,,pesa zake haziwezi kuisha,,mwanae Fred anasimamia vizuri
 
Ya kale hayanuki. Kila mfalme na awamu yake, yao ilipita sasa ni Legwanani mwanzo mwisho. Tulisage hili jini litoke ndani ya nyumba. Mengine baadaye, walio hai wakiomba kurudi nyumbani tutawakaribisha.
Mbona maccm mna shidaaa
 
Ahadi ipi mkuu,,,huyu tajiri anaweza kweli kutukumbuka maskini,,,???

Kweli eeeh!Kumbe magufuli masikini aisee!Afadhali umenifunua macho masikini atamkumbuka masikini mwenzie nilikuwa nataka kumpigia kura yangu lowassa sasa nabadili mawazo naenda na masikini kama mimi mlo wenyewe mmmmh!
 
Hao Wote Ni Makamanda, Wanamchango Wao Hauwezi Kubezwa, Wame give-up Wakati Vita Inakolea Tutawakumbuka Kwa

Mzuri na Mabaya yao. Vita Inaendelea na Recruitment Inaendelea Hadi Ushindi.
 
Yaaani ukitaka kujua haya mabadiriko si ya Mbowe wala Slaa,angalia ITV wanachama wa CUF walivyompa kubwa Prof...na hao ni baada ya ITV ku-edit,ila waneonyeshwa wote... Prof kala "shit" sanaaa
 
kwa hao wanaosuasua na kususa,mabadiliko tungeyangoja sana,acha laigwanan,atuingize nchi ya ahadi sasa!...

Hayo ni maneno yakufikirika,
huyu mtu ambae kuja tu chamani na kupeperusha bendera bendera,hiii kitu ni fedheha kubwa,kwakua tumeweka masikio pamba gharama yake tusubiri october
 
tunataka mabadiliko haijalishi tajiri au maskini.

Haya mabidiliko yakuburuzana hayana maana kamanda,sasa Dr Slaa tumeona kikwazo gani mpaka tukampiga chini kwasababu ya huyu tajiri ambae hata uchungu wa hiki chama haujui?
 
Laiti bado Kuna mtandao wa Vodacom,,,,pesa zake haziwezi kuisha,,mwanae Fred anasimamia vizuri
...........Wivu wa kicenge huo! Na wewe "kapigwe" uwe na pesa ili uzisimamie vizuri. Badala ya kumlaumu Baba ako aliekuzaa wakati yeye maskini, unamlalamikia mtu mwingine kuwa na fedha kutokana na juhudi zake. Shame on you!!

Ndo maana Watanzania wengi wenye akili kama zako huwa maskini wa fedha na akili.
 
mkuu mi nipo huku NYARUGUSU-GEITA Yaani huku kwenye taarifa ya habari watu wanaangalia taarifa za UKAWA huku wakitaka kumuona Kamanda E.LOWASSA akiongea.
 
Wanaodhani Lowassa akiwa Rais mahela yatajaa kwetu wananchi tuwe matajiri kama yeye hahaha mtangoja sana
 
Back
Top Bottom