Watoto wawili walikuwa kichakani wakimpiga chabo mdada aliyekuwa akioga mtoni.Mara ghafla mtoto mmoja akatoka nduki,na yule mwingine bila kupoteza muda akatoka mbio kuelekea alikoenda mwenzie.Alipomfikia mwenzie huku akihema akamwuliza ni kwa nini alitoka mbio?Mwenzie akasema;Mama alinikataza kuchungulia wanawake wanaooga vinginevyo nitageuka jiwe,kwa hiyo nilitoka mbio baada ya kuhisi cha kukojolea changu kinaanza kukakamaa kuwa kigumu,nikajua ndo naanza kubadilika kuwa jiwe.
AAAAAAAAAAAhhhhhh dogo alipata mfadhaiko wa kimwili
mguu wenye kichwa lakini hauna brain cells...........!!! lakini unasimaa na kukaa wenyewe!! chezea mguu wa tatu wewe!!Usifanye mchezo na mguu wa tatu.
ndo ujue dogo ni rijali
Ha ha ha! Cheka sana