Chabo imeniweka matatani

Haha naona ww c mzoefu wa kudinyana hv ukiona unapigwa chabo unanguvu tena ya kudinya?

Ofcourse inakatisha stimu! ila uswahili ni jambo la kawaida sana, so stimu itakata mpaka lini? ukitaka uishi uswahili, amini uko peke yako mtaa mzima hapo utafanya mambo yako kwa amani kabisa
 
Ofcourse inakatisha stimu! ila uswahili ni jambo la kawaida sana, so stimu itakata mpaka lini? ukitaka uishi uswahili, amini uko peke yako mtaa mzima hapo utafanya mambo yako kwa amani kabisa

Mkuu hapo hata mi nakubali mtoa mada chukua huo ushauri kama mimi mama mwenye nyumba wangu ananipiga chabo hata nikioga
 
dunia ina mabo jamani lol......pole kwa majanga mana kila siku unajambo jipya kaka yng
 
Upo buguruni ipi kwa Mnyamani au kwa Madenge nije kukusaidia
 
Ndiyo faida ya kupanga uswazi halafu unaweka pazia lenye saizi ya dirisha la chooni kwenye dirisha la chumbani.
 
hii kli
 
hahahaha mkuu yaani ukidinyana mchana mpaka watoto wanapiga chabo kwa mnyamani balaa jamani
Ndiyo maana vitoto vy aswazini vimekomaa vingali vidogo ukiviuliza mtoto anapatikanaje vinakwambia kila kitu. Hata mwalimu wa Biology sekondari hana kazi ngumu linapokuja suala la kujifunza kwa vitendo maana wote wameona na wanajua tayari.
 
Hahaha,Watoto wa Mulugo wataielewa hiyo Biology kwa lugha gani?Maana kiswahili kinawashinda na kiingereza ndo shida tupu...Vinginevyo wafundishane wenyewe kwa lugha zao maana waalimu walau wanatumia lugha za kitaaluma kufuatana na sheria za kazi..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…