Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,155
Leo nimesikiliza podcast ya mtu maarufu aliyekua anasimulia alivyobambwa na mpenzi wake wakati wanakulana kwenye choo cha ndege. Yeye mwanaume alikua anatoa miguno wahudumu wakahisi labda ni medical emergency 😂
Haya wanajukwaa njooni tuambizane mizagamuano inayonoga kuliko yote.
Naanza;
Nusratt , babes sijateguka kiuno ila cha moto nimekiona, sasa hivi najisikia mwepesi hata ukinipuliza kidogo tu napeperuka.
Haya wanajukwaa njooni tuambizane mizagamuano inayonoga kuliko yote.
Naanza;
- Kumisiana, mnakutana na hamjaonana siku nyingi, alikua safarini au hamuishi mkoa mmoja, halafu mnapeane ile kitu inayozama kwa mwenzake.
- Ya kuibia ibia, mmetoka mko kwenye starehe, au ofisini, au kwenye gari, chooni, au nyumbani sebuleni wakati hamuishi wenyewe. Ile mnafanya tendo kwa sababu hisia zimewabana mmeshindwa kuvumilia kufika sehemu ya faragha.
- Ugomvi, mmegombana halafu mkachuniana au hamkua kwenye good terms halafu mkajikuta mmesawazisha tofauti na mkapeana ule utamu baada ya kusameheana “make up sex, huwa ni moto sana.
- Umefuatilia penzi muda mrefu, halafu anakubali kuja kwako na mnaanza kushikana shikana halafu unamchomekea na kumla kwa mara ya kwanza. Na ukute umetiwa hamu na watu humu JF so ashki zimekupanda unahaha kama Mbaga Jr .
Haya ongeza za kwako zinazonogaga.
Nusratt , babes sijateguka kiuno ila cha moto nimekiona, sasa hivi najisikia mwepesi hata ukinipuliza kidogo tu napeperuka.