Hpo kwenye "world first accident" wangeandika "world first car accident" maana cdhani km ajali tofauti na za magari zilikuwa hazitokei nyumba kuangukiwa na miti na kadhalika ila kwa ajali ya gari ya kwanza naweza kukubali
Hiyo first camera sio lazima kuwa ilipigwa picha siku iliyoundwa inaweza kuwa ilipigwa picha hata miaka kumi baadae wakati camera zikiwa nyingi na bora zaidi