Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,980
- 100,174
Aksante sana mkuu!
Hii ni Creativeness ya aina yake hapa JF!
kAMA VIPI hii thread iendelee kuwepo na uwe unaiwekea yanayojiri magazetini on Daily basis!
Nilijua "kile cha asubuhi" dah.....
Nilijua "kile cha asubuhi" dah.....
Hebu kitaje ni kinini?
umefika mbali mkuu
Duhhhhhh ..... haya mkuu
nini tena afro d? funguka
hahahahahah hilo tonge nalimeza tu ndugu yangu...
mambo mengine yabaki tumboni tu ..
unatunyima uhondo wa habari..Afro D
ahhhhhh
fungua ukurasa wa tano mkuu uhondo wote umo humo..😛oa
Nilijua "kile cha asubuhi" dah.....
Nilijua "kile cha asubuhi" dah.....
ha ha haah!! Hata mimi nilidhani hivyo!
Ndio kwanza niko ukurasa wa tatu
Nsikumalizie utamu bure.. hahahah lol
kwa hiyo sintokudokeza kitu .. lolz
ha ha haah!! Hata mimi nilidhani hivyo!
huwa nafuatilia sana kipindi Cha Asubuhi..za dondoo za habari magazetini
angalia hii:
Kurasa za Mbele:KITAIFA
. Magufuli awarushia kombora wabunge wa dar
. Dr Slaa ailipua serikali
. hamad amrushia mabomu Seif
Kurasa za Ndani:KIMATAIFA
. Marekani kuivaa Iran
. Israel kuitwanga Palestina
Kurasa za Nyuma:MICHEZO
. Kanumba afanywa Vibaya na Ray
. Ngassa ampiga bao Kaseja
samahanii jamani huwa navutiwa na vichwa vya habari vya magazeti...ongeza vingine ulivyovutiwa navyo.....
JF Chit -Chat.....