zte spro 2, projector ya android
zte wametoa hii projector ambayo kwa muono wangu atleast inamake sense, ni projector halafu hapo hapo ni wifi router ambayo inanyonya lte/3g na kutoa wifi. ina vitu hivi.
1. inaproject 720p hivyo utapata picha zenye quality na ukizingatia vitu vingi vya android ni 720p na 480p
2. inauwezo wa kuproject masaa 3 ya hd, na kutengeneza hotspot ya 4g itakayotumiwa na watu 10 kwa masaa 10, kwa sisi wa 3g huwenda yakazidi masaa 10. betri yake ni 6300mah
3.ina hdmi port na usb port unaweza itumia kama media player kwenye tv yako
4.ina kioo kikubwa cha hd, playstore, processor ya snapdragon 800, ram 2gb, na kila kitu kama simu
kwa wale wanaotaka projector ya simu serious hii itawafaa