Certificate na Diploma ya Afya

Certificate na Diploma ya Afya

kalamu ya chuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
214
Reaction score
63
jamani nisaidieni nataka kusoma certificate au diploma ya afya naomba wapi? wizarani au?
 
Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM
 
safi sana bosi, nimemaliza kidato cha nne,naweza kutuma application hata kesho? plz nataka kutuma mapema nisije chelewa.
 
Mkuu acha kupotosha vipo vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali na ajira inapatikana bila ya wasiwasi, kwa mfano kuna chuo kipo Sengerema ndugu yangu alisoma hapo na hivi sasa yupo hospitali ya wilaya ya Same kama mganga msaidizi. Kingine kipo kilosa mkoani Morogoro kinamilikiwa na kanisa wapo vizuri na ajira zinapatikana tu,
Cha msingi ni kumwelewesha muombaji asiombe kwenye vyuo visivyotambuliwa na wizara ya afya.....
 
Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM

Mkuu kwahiyo mwenye diploma anaanza na mshahara ngazi ipi?
 
Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM

Mkuu hapo umeongopa kuna institute kibao tu watu wakimaliza kusoma wanapelekewa fomu za kuomba ajira na wanaajiriwa especially mvumi istitute of health and allied science
 
Wakuu me nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata
Biology C
Chemistry D
Physics D
Kw naweza kutuma maombi ya kusomea clinical officer na nitaombaje nafasi naomba mnisaidie
 
Nenda kam college of health sciences chuo kipo dar ni kizuri kimesajiriwa na NACTE na wizara ya afya pia intake wanaanza masomo mwezi wa 6 mwaka huu wanafundisha medical laboratory na clinical officer.nakushauri uende kam ww jidanganye cjui muhimbili,Bugando huwezi kwenda hapo utaganga mtaani mpaka ukome hivyo ni vya gvt
 
mkuu jaribu pia na vyuo vya private wizarani siyo pa kutegemea sana mkuu njoo mwanza kuna chuo cha afya Tandabui pia wako vizuri link yao hiyo hapo tihest
 
safi sana bosi, nimemaliza kidato cha nne,naweza kutuma application hata kesho? plz nataka kutuma mapema nisije chelewa.

weka matokeo upewe ushauri wamaana !
Mana Diploma hawaanzi tu na matokeo ya kawaida sana!
.

Regards
 
Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM

lugalo mwaka huu kuna diploma.dental,environmental health,physiotherapy,na pia toka kitambo kuna co.
 
aliyesoma vyuo vya private na vya serekali kuna hasara yoyote kati ya hao wawili..?
 
jamani mbona ukitaka 'kureset choices' kwenye application inazingua.nimechagua vyuo vitatu lakini nataka kurekebisha kimoja niweke kingine sasa pale kwenye kureset choices inazingua.msaada kwa anayefahamu
 
jaribu kuwasiliana nao NACTE wenyewe i hope watakusaidia vizuri zaidi
 
Div IV 29. Bio.D,phy.D,chem.D,math.F,eng.D,civ.D,kisw.D, na mengine yaliyobaki nimepata D pia
 
Wakuu na mm nmepata hv
Bios d
Chem d
Phys f
Engl d
math f
Civ c
Geog d
Kisw c
Hist d
Yaan nina div 4 ya 26
Je, naweza soma kozi ya afya ukiacha nursing?
Naomben mnisaidie wakuu
 
kozi ya afya unayoweza soma ni COMMUNITY HEALTH tu.
 
Back
Top Bottom