Tetesi: CEO wa Simba Kajula Mzee wa kibegi afutwa Simba

Tetesi: CEO wa Simba Kajula Mzee wa kibegi afutwa Simba

Hapana ukienda kwenye Sport Arena Pia wameandika Na ukienda kw Mo pia kaandika
Simba ina changamoto sana hata ukitazama hio picha ya kikao unaona tu nikwamba hakukuwa na majadiliano ya maana. Naona vikokotoo mezani ukute washauza mechi wanapiga HESABU za mgao akina Mudi. (Maana KANJIBAI sio poa).
 
Mmeanza kushtuka kutoka kwenye usingizi wa pono anaowabembeleza Ahmed Ally
Huyu Mzee nilishangaa....alipotengeneza channel ya Whatsapp ....nayo aliweka press conference [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom