CEO wa Safari Com Kenya akutwa amefariki dunia

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
CEO wa Safari Com Kenya,amekutwa amefariki leo hii asubuhi tarehe 1.7.2019 Nyumbani kwake Jijini Nairobi
 
Wakenya kwa kuuana! Halafu unakuta sababu za mauaji ni za kipuuzi kabisa. Nadhani sisi tuna unafuu kiasi ingawa tumo pia.
 
Anaitwa nani na amekutwa katika mazingira gani?
Huyo hapo
IMG_20190701_125326.jpeg
 
Anaitwa nani na amekutwa katika mazingira gani?
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore (61) amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019.

Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.

Raia huyo wa Uingereza ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya taasisi ya saratani nchini Kenya, ameacha mke, Wambui Kamiru na watoto wanne.
 
Huyo CEO hana jina!!?

Ila hongera umekuwa wa kwanza kututaarifu!
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore (61) amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019.

Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.

Raia huyo wa Uingereza ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya taasisi ya saratani nchini Kenya, ameacha mke, Wambui Kamiru na watoto wanne.
 
na ndiye mtu aliyekuwa analipwa mshahara mkubwa kuliko wote katika takwimu za kenya
 
Yule mama waliotaka kumleta huku Wakenya awe CEO wa Vodacom nadhani sasa wampe hiyo nafasi ya Muingereza Mguyana aliyefariki
 
Nilisoma mahali kwamba hajawahi kuwa na Mtoto wa kumzaa yaani hakuwa biological father wa hao watoto wanne Huyo mama wa kikenya ambaye alikuwa mke wake hao watoto alimkuta nao
 
Nikajua Spika wa tz akutwa amefariki nyumbani kwake kwa magonjwa ya kisasa🤔🤔..kumbe ni Kenya💃
 
Wakenya kwa kuuana! Halafu unakuta sababu za mauaji ni za kipuuzi kabisa. Nadhani sisi tuna unafuu kiasi ingawa tumo pia.
Huyu afya yake ilikua mgogoro alikua na cancer na imemtesa kwa muda Mrefu sana.
 
Back
Top Bottom