CEO Simba atema cheche kwa Mkude

CEO Simba atema cheche kwa Mkude

Wanahitajika viongozi na wasimamizi wa soka kama huyo Mazingiza maana tunafeli sababu wachezaji kujiona wao ni bora sana ktk timu kuliko yeyote.
Wengine pia wajifunze kupitia kwa tukio hilo.Nimempenda mno atunyooshee hawa.
Mchezaji hapashwi kuwaendesha viongozi bzli uongozi ndio umwendeshe mchezaji.
 
Mkude sio mara ya kwanza kuchelewa flight..kuna safari alichelewa akaja na bodaboda wenzake walikua wamesha check in....lazima achukuliwe hatua hata akatwe salary...
 
Huu ndo ule usingizi ambao ukiupata basi kuna udenda flani hivi lazima uuache kwenye shuka

Mkude aache pombe na bangi
 
Huyo jamaa anazingua sana,tunampenda sana wanasimba na kumpenda kwetu kusimfanye awe na kuburi
 
Na huo ndio msimamo wa wanaSimba tulio wengi. Walikuwepo akina Hussein Masha, mchezaji ambaye hakuwahi kukosa penati katika historia ya soka, leo hayupo Msimbazi itakuwa Mkude. SIMBA KWANZA!

Hivi mpaka hivi leo hapo Msimbazi ameshapatikana Mrithi wa Hussein Aman Marsha au hata tu Ramadhan Lenny? Nasubiri majibu yangu Ndugu.
 
An Eagle haya kijana umemwona mkude ?

Nasikitika Watu mmekimbilia tu Kumsema / Kumnanga Mwanangu mwenyewe Jonas Mkude huku mkiacha ama kwa Makusudi au kwa kutokujua kuwasema akina Clatous Chama na Mkongwe Erasto Nyoni ambao nao pia wapo Kikaangoni kama Mkude kwa Makosa yasiyo mbali sana na anayotuhumiwa nayo. Bado sijaona Kiongozi yoyote Simba SC mwenye Ubavu wa Kuwatisha akina Mkude, Chama na Nyoni hasa ukizingatia kuwa Wachezaji wote hawa Watatu niliowataja hapa ukimjulisha na Ibrahim Ajib ni Vipenzi wakubwa wa Tajiri na Mwekezaji wa Simba SC Mohammed ' MO ' Dewji.
 
Huyo bosi uchwara aache uswahili, ndege yenyewe inaweza chelewa itakua abiria! Haoni foleni za dar hizi
Mchezaji alala usingizi anachelewa gari ,au alikua kukamua mzigo washemu usingizi ukampitia,wachezaji wakibongo hatafu unawatetea!!!wewe lazima myangayanga siobure
 
Back
Top Bottom