Manara kawahari sanaBarba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Na ujinga wenu ulobebwa na uzezeta, mnaona wenyewe mmepata msemaji wa team!Barba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Manara hana busara, binafsi namwona kama anatumia ulemavu wake Wa ngozi kama ngao ya kugombana hovyo na watu.Barba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Hebu wekeni hapa na sisi tumhukumu ana hatia au hana? Si kila mtu humu amemsikia Manara akitukana japokuwa Mimi nasisitiza mara kwa mara Manara hana hadhi ya kuwa msemaji wa Simba. Hana tofauti na Jerry Muro kwa Yanga kipindi kile.Manara kama mwajiriwa anawajibika kufuata sheria za kazi kwa mapana yake.
Lakini hili la kuanza kutukana mkuu wake wa kazi hadharani kwenye mambo ya kazi na tena kwa ushahidi kabisa! Hilo ni kosa kubwa. Pamoja na yeye kufanya kazi anayosema ni kubwa ya jasho na damu lakini kila mtu anafanya hivo kazini kwake na hulipwa malipo kama compasation...
Siyo wanasimba ila wewe ndo uko nyuma ya ManaraBarba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Hapana sio kweli! ndio Manara katoa mchango wake mkubwa kwa SSC lakini sidhan kama SSC bado inahitaji kuendeshwa kwa hamasa tena.Barba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Nyuma ya Manara anamfanyaje? Au huyu ndo yule mzee Tozi.Siyo wanasimba ila wewe ndo uko nyuma ya Manara
Mnakumbuka huyo mabara alikuwa mwenezi wa ccm mkoa wa dar,hivi mnajua alikimbia na hela ccm?Wahuni bhana manara na elimu yake ya ngumbaru anasikitika kulipwa laki saba anataka kuishi maisha ya kina diamond kwa maisha ya kulipwa mshahara wale wahuni wanatafuta wenyewe mambo ya hovyo hovyo kila kukicha hiyo nafasi inataka mtu muelewa sio manara na Simba ipo na itaendelea kuwepo hata bila manara..angetoka damu angekua hai maneno ya kina kaduguda hayo watu hawawezi kuishi bila Simba...
Jipi kivipi Mkuu hebu tufafanulie!Barba ni jipu.
Na sisi wanasimba hatutakubali kuona hili jipu likitaka kuiharibu brand yetu.Wanasimba tuko nyuma ya Manara.Ameitumikia club hii kwa jasho na damu na sisi ni mashahidi
Mkuu kitu cha kujiuliza sio idadi ya watu wanaomlalamikia CEO Barbra, cha kujiuliza ni je, waliondolewa kwa haki na kwa mujibu wa taratibu stahiki ?Inawezekana ikawa Haji ana makosa, likewise inawezekana ikawa Barba ana makosa.
Lakini swali langu kubwa ni MOJA TU.Kwanini kila mfanyakazi wa simba akifukuzwa Simba katika interview zao lazima wanatupia lawama zao Kwa CEO,barba iwe direct or indirect.
Sijawahi sikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu manara tokea nimeishabikia simba, sijawahi kumsikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu CEO aliyepita MAGORI wala sijawahi kumsikia mfanyakazi yoyote wa simba akimlaumu CEO aliyepita SENZO
Lakini kwa siku za hapa karibuni,kila mfanyakazi aliyefukuzwa simba alikuwa akitupia lawama zake kwa barba,kwa mfano CEO SENZO mwenyewe aliwahi kusema kuna wali walikuwa wanampinga ambao hawakuwa kwenye management yake,habari za kiinteligence zikasema kuwa alikuwa ni barba akichochea Moto ili achukue nafasi.
Hali kadhalika kwa swebi na kashembe kila mmoja amekuwa na manung'uniko na management ya Barba.
Ni dhahiri kuwa barba ana aminiwa sana na Mo kwani alianza kufanya kazi kwenye kampuni zake kabla ya kumleta pale Simba,so ni ngumu sana kwa mtumishi yoyote yule mwenye mawazo tofauti na Barba kuendelea ku-survive pale Simba.
Haji anaumaarufu mkubwa sana kuliko mtu yoyote pale Simba,hiki kitu nadhani ndio kinamfanya barba awe na wivu.Angalia hata project nyingi za Simba, Barba huwa anajipa credit yeye mwenyewe badala ya kuipa credit management yote ya simba,hii ni selfish behaviour na ni mbaya sana kwa mustakabali wa timu.Anapenda sana kujipa utukufu mwenyewe pasipo ku recognise efforts za watendaji wengine.
Kama umeisikiliza ile clip ya manara utagundua kuwa haji anaongea kwa hisia sana,ni dhahiri kuwa kulikuwa na sintofahamu ya muda mrefu na ameivumilia sana sasa kaamua kutema nyongo.
Huu ugomvi utawagawa mashabiki wa Simba na viongozi wao.Barba anaungwa mkono na Mwenyekiti wa Bodi huku manara akiungwa mkono sana na mashabiki wa Simba,so maamuzi yanapaswa kuwa ya uangalifu sana.Ni vyema wakae chini watatue kwa amani.
Sioni kosa lolote kwa manara kukutana na watu wa GSM.Yule ni celebrity lazima atumie uamarufu wake kutafuta kipato.
Kuwa ambassador wa kampuni ambayo ni mshindani wa boss wako kibiashara sio kosa,hilo ni swala la ujajusi wa KIUCHUMI hapo Barkhera kawin hiyo game,alichopaswa Mo ni kumshawishi Manara awe ambassador wake na sio kuleta chuki.