Cement ya Camel kwa bei chee

Cement ya Camel kwa bei chee

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Je wewe ni mjenzi au unafyatua matofali au muuza cement kwa bei ya rejareja!?
Tunauza cement ya camel kwa bei ya chini kutoka moja kwa moja kiwandani. Gharam za usafiri na ushushaji utalipa mwenyewe muhitaji
Bei inapungua kadiri unavyonunua mzigo mwingi
Bei za leo ni cement R32 kwa 11,000/- na 42.5 kwa 11,500/-. Hata kama upo mkoani tutakufikisha kwa gharama zako vile vile
Tunapatikana Kigamboni, Dsm
Hotline: 0659 211 222
 
Mbona jina geni au ndo viwanda vyenyewe hivyo....ok mko mkoa gani.??
 
Hii kampuni ni sawa na ile ya mafuta(sheli)
 
Back
Top Bottom