CELTIC...Hii Timu Ni Hatari.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Nimejaribu kupitia Msimamo wa Ligi Kuu Ya Scotland Nimekuta ya Celtic INAPOINTS 82 ikiwa imecheza Michezo 28 wakiwa wahajapoteza mchezo hata Mmoja Na wakiwa wameenda Sare Mchezo Mmoja.

Kocha mkuu ni Brendan Rogers Akiwa Ameshawai kufundisha Liverpool ya pale Uingereza.

JE NI LIGI RAHISI I MEAN TIMU HAZITOI UPINZANI WA KUTOSHA AU NI UBORA WA KOCHA NA WACHEZAJI KWA PAMOJA???
 
hawa walijizatiti baada ya Rangers kushushwa daraja pia wapo vizuri financial

rangers wamerudi time will tell
 
DK ya 86 Anacheza na Rangers,Celtic akiongoza goli 1. Kipindi cha nyuma hii ligi ilikua tamu sana enzi za akina Dundee Nakumbuka Barca alishawai kufa pale akipigwa na Celtic goli 2-1 Celtic ya Wanyama.
 
Back
Top Bottom