TruKwa Africa South Africa na Zimbabwe ndiyo wanaotengeneza movie siyo hizi taka taka za waghana, wanaija na watz maigizo sijui nini eti tunaziita movie.
Mr bones anachekesha saaana
Hivi huyu jamaa si ndio alicheza home alone 4/5?pia mwaka 2012 Alitoa muvi ya Mad Buddies akishirikiana na Kenneth Nkosi (Kibonge).
Ungeweka japo na kapicha basi,Salute comrades..
Leo namleta kwenu mchekeshaji na mwigizaji maarufu kutoka Afrika kusini Leon Schuster aka Mr bones.
Kwa wapenzi wa filamu basi watakua wanamfahamu huyu jamaa .
Anaitwa Leon Ernest "Schuck" Schuster.
Ni Mwigizaji, mtengenezaji wa filamu, mwanamuziki kutoka South Africa
Kazaliwa tarehe 21/5/1951 (66)
Schuster aliaanza kuigiza kwenye muvi ya You must be joking! akiwa ameshirikiana kuitengeneza na Johan scholzt na Elmo de witt baadae wakatoa tena You must be Joking too!
Ambazo zilimpatia sifa sana na kujulikana katika ulimwengu wa Comedy..kama unapenda kucheka tizama hizo muvi
Baadae akacheza muvi ya Mr Bones ambayo imemletea mafanikio makubwa na kumtambulisha duniani kwa ujumla iliuza R33 millions, pia mwaka 2012 Alitoa muvi ya Mad Buddies akishirikiana na Kenneth Nkosi (Kibonge).
Zifuatazo ni orodha ya muvi alizocheza na kuziandaa mwenyewe.
You must be joking 1986
- You must be joking too! 1987
- Ooh Schucks.. It Schuster 1989
- Oh Shucks here comes UNTAG 1990
- Sweet 'n' short 1991
- Yenkee Zulu 1993
- Mr Bones 2001
- Oh schuck.. I'm Gatvol 2002
- Mama Jack 2003
- Mr Bones 2. Back from the past 2008.
- Oh Schuck Tshabalala survival Guide to South Africa 2010
- Mad Buddies 2012
- Schucks! Your country needs you 2013
- Shucks! Pay back the money 2015
- Frank and Fearless 2018
Huyo ndio Leon Schuster nakuhakikishia ukitizama hizo muvi utacheka mbaka mbavu ziume japo ashakua kibabu flani hivi..
Kaanza kuimba 1975
Kaanza kuigiza 1986.
Kwa upande wangu nimeona muvi zake zote kasoro alizotoa kuanzia 2013 mpaka 2018.
©Da'Vinci
Feb 16 2018.
Numbisa tusaidie pleaseUngeweka japo na kapicha basi,
Wengine ukiwaambia Mr. Bones wanaweza kumchanganya na Mzee wa The Bourne Legacy, The Bourne Supreme, The Bourne Identity, The Bourne Ultimatum, My name is Jason Bourne
Salute comrades..