..Nyamayo..Nilitaka kukugongea senksi lakini kile kidude sikioni. Tangu wafanye ukarabati mambo sio mambo humu JF. Lakini kiukweli Harry Barry yuko bomba sana. Mi mpaka sasa namzimia huyu demu.........
safi sana kuona vitu kama hivi, Beyonce na Angelina wana tabasamu la asili tangu udogoni, Britney na Jennifer wanalazimisha tabasamu.Michael jordan,michael jackson, Angelina,Beyonce sura zao zipo vile vile toka utotoni mpaka sasa hakuna mabadiliko