Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
aiseeeeee babaangu 2mekutana na vibonde sana hao si mpira wa kuangalia huo
Letelete lete Mkuu matokeo hayo usibanduke hapo ulipo,bahati mbaya sana leo siko hata kwenye TV kamanda wangu nimekosa uhondo jamaniiiii!!!!!!!!!!
dk 73;54 na dk 74;57 Ngasa anaongeza goli la 6 na 7, ana matano kwa leo
duh wawatandike kumi hahahahah
duh wawatandike kumi hahahahah
Unaonaje ukiita TANGANYIKA? Huoni jina ni refu la Tanzania bara! (Watz wana kiswahili mureeeeeefuu.)Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo hayo, Sub; Boco nje, Edw christropher ndan, Damayo nje, Chuji ndani. Somalia walishamaliza sub toka kipind cha kwanza. UPDATES, dk ya 82 somalia 0-7 Tanzania bara, yote ngasa, ana matano kwa leo