CECAFA CHALLENGE: Makundi

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
876
Kundi A
Uganda
Kenya
Ethiopia
South Sudan

Kundi B
Tanzania
Sudan
Burundi
Somalia

Kundi C
Zanzibar
Rwanda
Malawi
Eritrea
 
Tushajipatia Point 3 kwa Somalia.

Weweeee??!!!!kwani hawajawahi kutufunga tena hapa hapa nyumbani?,acha kabisa kusema hivyo,na mpaka sasa yenyewe tayari yako Uganda yameweka kambi!!!!!sisi hata harufu ya kambi bado halafu useme tuyafunge!!!!!
 
Weweeee??!!!!kwani hawajawahi kutufunga tena hapa hapa nyumbani?,acha kabisa kusema hivyo,na mpaka sasa yenyewe tayari yako Uganda yameweka kambi!!!!!sisi hata harufu ya kambi bado halafu useme tuyafunge!!!!!

hahahahaha umenifurahisha sana.
 
Kundi la Tanzania ni kundi dhaifu sana, hofu ni kuwa Kili Stars imechaguliwa kwa mizengwe, ingekuwa timu iliyochaguliwa kwa weledi tusingekuwa na hofu ya kusonga mbele. Kama Simba chovu imetoa wachezaji 9, mwendo wa Simba kwa mechi za ugenini ndani ya TZ unafahamika, itakuwaje huko nje ya TZ?
 
KundiA balaa.. Ila naweza kutabiri. Nusu fainali ethiopia uganda malawi tanzania

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mashindano yatakua magumu sio ya kufanyia mzaha Tujiandae kwenda kushindana sio Kushiriki
 
.......kundi B Sudani na Burundi ni balaa, si ajabu Tanzania ikaninginizwa, kuifunga Somalia uhakika hupo lkn kwa hizo timu mbili si mchezo.
 

Dhambi hii ya ubaguzi wa wachezaji , mashabiki wengi wa Yanga mtakwenda nayo hadi jehanamu. Dhambi imegoma kabisa kutoka kwenu. Badilikeni
 
Suala la michezo halipo kwenye muungano hivo hapa inatakiwa isomeke TANGANYIKA.
Kundi A
Uganda
Kenya
Ethiopia
South Sudan

Kundi B
Tanzania
Sudan
Burundi
Somalia

Kundi C
Zanzibar
Rwanda
Malawi
Eritrea
Hebu tuwe makini kwamba haiwezekani pawe na ZANZIBAR na TANZANIA hapo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…